Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi zenye sheria iliyosimama, hapa kwetu atafaidika meendesha mashitaka na hakimu na hata rais ili mwenye nazo asiende jela!Familia ya Hinduja ni raia wa uingereza wenye asili ya kihindi inayothaminiwa kuwa na utajiri wa takribani dola bilioni 47 (shilingi trilioni 123)
View attachment 3023133
L to R: Prakash. P. Hinduja, Chairman, Hinduja Group (Europe); Srichand. P. Hinduja, Chairman, Hinduja Group; Gopichand.P. Hinduja, Co-Chairman, Hinduja Group; Ashok. P. Hinduja, Chairman, Hinduja Group (India)
Watu wanne wa familia ya bilionea Hinduja wamepatikana na hatia ya kuwanyonya wafanyikazi wa nyumbani katika jumba la kifahari huko Geneva nchini Uswisi.
Inadaiwa kuwa wafamilia Prakash Hinduja na Kamal Hinduja, pamoja na mtoto wao wa kiume Ajay na mkewe Namrata walikuwa wanawaleta wafanyakazi za ndani kutoka India na kuwaleta wawafanyie kazi za nyumbani.
Katika moja ya jumba lao la kifahari wanalomiliki nchini uswisi, imebainika wafanyakazi walikuwa wanapitia manyanyaso haya:
- Kuwanyanganya pasi za kusafiria
- kuwaminya uhuru wa kutoka nje ya nyumba
- kuwatumikisha masaa 16 hadi 18 kwa siku
- Kuwalipa malipo kiduchu wafanyakazi kwa kuwaingizia hela kwenye account zilizopo nchini India, Malipo yakiwa ni rupia elfu 10 kwa mwezi sawa na shilingi laki 3, toauti na utaratibu wa nchi nyingi za ulaya wa kuwalipa wafanyakazi za ndani kwa saa (per hour) na nchini switzerland kima cha chini cha mshahara kwa kazi yoyote ni CHF24. 32 (shilingi elf 71 kwa saa)
mmoja wa waendesha mashtaka maarufu wa Geneva, Yves Bertossa, alilinganisha karibu kiasi cha dola 10,000 (shilingi milioni 26) kwa mwaka alizodai familia ilikuwa ikitumia kwa ajili ya mbwa wao na malipo kiduchu ya watumishi wao.
Mahakama ya Uswisi imewahukumu Prakash na Kamal kifungo cha miaka minne na miezi sita gerezani. Ajay na Namrata miaka minne, Pia waliamriwa kulipa takriban $950,000 (shilingi bilioni 2.4) kama fidia.
Sheria inafuata muda uliopunjwa, kiasi ulichostahili kulipwa na faini inayohusiana na hayo, haiangalii kwa kuwa wewe ni bilionea basi uhukumiwe kulingana na utajiri wako. Tz yapaswa kujifunza!Bilioni 2 ni ndogo san
aaa Kwa fidia, huo ukwasi wa Trillion 100+
Kwao hapo ni mateso sanaKwa hiyo ndiyo wanaenda kunyea ndoo humu ndani?
Wapeni pole sana.View attachment 3023142
View attachment 3023143
View attachment 3023144
Ngoja kesho nikanyandue katika kistroCHOCHOTE UFANYACHO INAKUBIDI UWE NA KIASI KATIKA KRISTO YESU.
Hapana mkuua
au ni prof shvji
mnooo