Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

Kweli mtu unahangaika na mpira ilihali jioni tu familia haielewi itakula nini? Yaani hakuna balance hata ya siku 1 mbele bank? Duuh , unasafiri toka Moro kwa ajili ya mpira badala ya mishe za kukuingizia kipato kusingatia hali ulionayo ya umasikini?
Ushabiki huo

Ova
 
Waafrika hatunaga vipaumbele kibinafsi na kitaifa kama nchi pia.
 
Little education is very dangerous.....walisema wazungu wa kale...
Mimi decisions making zangu mara Kwa mara Huwa zinanikataza kwenda kwenye mahalaiki ovyo ovyo......

Wengine huko mbagala wanavyo gombania daladala kama wrestling [emoji4][emoji4]

Je? Angeangalia mechi vibanda umiza huko huko Moro au Dom asinge pungukiwa kitu....Sema NDIO hatuzijui dakika za mbele za maisha yetu....

R.i.p willy Umepigana vita vilivyo vyema,Imani Umeilinda, umeumaliza mwendo upumzike Kwa amani.
Ni half education sio little sekunde nyingine uwe makini
 
ila hii familia isispopewa hata msaada wa mazishi tu ntaamini afrika tumelaaniwa vibaya mnoo.
 
Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma.

Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa sasa hali ya familia siyo nzuri hivyo wanaomba msaada ili wakampumzishe baba yao nyumbani kwao Mvumi Mission, Dodoma.

Amesema marehemu alikuwa shabiki mkubwa wa Yanga na siyo mara yake ya kwanza kuhudhuria kwenye mechi za yanga pindi inapocheza akiwa na mashabiki wenzie kutoka Morogoro.

"Baba alikuwa anaipenda sana Yanga anaweza asifike nyumbani akaenda kuangalia mechi bila kuonana na sisi na hata mechi ya jana alikuwa amekuja akitokea Morogoro na aliondoka nyumbani asubuhi," alisema Dora.

Pia, amesema taarifa za msiba walizipata saa 1 jioni kutoka kwa Dk Kimaro akiwataka waende kumuona Willium kwani anaumwa na alipata majeraha sehemu ya kichwani kutokana na mkanyagano.

Naye shemeji wa marehemu Grace Lucas amesema wamepata pigo sababu marehemu ndiye tegemeo la familia na ana watoto wanaosoma.

"Mke hana kazi na hapa tulipo wamepanga hivyo hatuna chakula na mchana majirani walitusaidia ila jioni yetu hatuijui," amesema Grace.

Kuhusu klabu ya Yanga, Mwananchi limemtafuta meneja wa mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ambaye amesema wameshawasiliana na familia kuona ni jinsi gani watakavyosaidia.

"Leo asubuhi tumekutana na ndugu wa marehemu katika Kituo cha Polisi Chang'ombe na tumewaambia kesho kama uongozi tutafika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa rambirambi," amesema Kamwe.

Willium alikuwa anajishughulisha na uuzaji wa nyama Morogoro na Dodoma na ameacha mke na watoto wanne ambao wawili ni wanasoma shule ya msingi.

MWANANCHI

Ya nn kusafirisha wazee? Makaburi yaliojazana apa dar yte hayatoshi mazee? Em kuweni serious na resource za nchi bas at some point
 
Nilikua skui ila dar ndo sehemu pekee wamejaa watu washamba na wajinga sana japo wao huwa wanajiona wanaishi jijini ila asilimia kubwa ya wati wa Dar es salamaa ni washamba na malimbukeni sana
Iv inakuaje mtu unaenda uwanjani na huna tiket na wala hujagawiwa tiket uko ni kukosa kaz za kufanya na kuonesha ulimwengu jinsi gan watu wa dar ni washamba na wajinga

SA kwenye mechi ya marumo na Yanga ilikua ni bure mbona wa SA hawakuvunja mageti wala akuna alie kufa na tiket zilikua ni bure tena kulkua hakuna tiket ilkua ni bure

RIP na pole kwa familia ndugu jamaa na marafiki kwa kupoteza mtu muimu kmt familia , ukoo na jamii kwa ujumla
 
Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma.

Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa sasa hali ya familia siyo nzuri hivyo wanaomba msaada ili wakampumzishe baba yao nyumbani kwao Mvumi Mission, Dodoma.

Amesema marehemu alikuwa shabiki mkubwa wa Yanga na siyo mara yake ya kwanza kuhudhuria kwenye mechi za yanga pindi inapocheza akiwa na mashabiki wenzie kutoka Morogoro.

"Baba alikuwa anaipenda sana Yanga anaweza asifike nyumbani akaenda kuangalia mechi bila kuonana na sisi na hata mechi ya jana alikuwa amekuja akitokea Morogoro na aliondoka nyumbani asubuhi," alisema Dora.

Pia, amesema taarifa za msiba walizipata saa 1 jioni kutoka kwa Dk Kimaro akiwataka waende kumuona Willium kwani anaumwa na alipata majeraha sehemu ya kichwani kutokana na mkanyagano.

Naye shemeji wa marehemu Grace Lucas amesema wamepata pigo sababu marehemu ndiye tegemeo la familia na ana watoto wanaosoma.

"Mke hana kazi na hapa tulipo wamepanga hivyo hatuna chakula na mchana majirani walitusaidia ila jioni yetu hatuijui," amesema Grace.

Kuhusu klabu ya Yanga, Mwananchi limemtafuta meneja wa mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ambaye amesema wameshawasiliana na familia kuona ni jinsi gani watakavyosaidia.

"Leo asubuhi tumekutana na ndugu wa marehemu katika Kituo cha Polisi Chang'ombe na tumewaambia kesho kama uongozi tutafika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa rambirambi," amesema Kamwe.

Willium alikuwa anajishughulisha na uuzaji wa nyama Morogoro na Dodoma na ameacha mke na watoto wanne ambao wawili ni wanasoma shule ya msingi.

MWANANCHI
R.I.P MwanaYanga [emoji120]
 
Haaahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] sipokei taarifa in Ole Sendeka voice [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]

Half education [emoji3][emoji3] hai make sense..

Little education ndio Ina make sense [emoji3526][emoji3526][emoji4][emoji4]
Nikutakie utendaji mwema
 
Kweli mtu unahangaika na mpira ilihali jioni tu familia haielewi itakula nini? Yaani hakuna balance hata ya siku 1 mbele bank? Duuh , unasafiri toka Moro kwa ajili ya mpira badala ya mishe za kukuingizia kipato kusingatia hali ulionayo ya umasikini?
Mashabiki wengi wa haya mambo ni wapumbavu, malofa na wasio na mbele wala nyuma. Kushinda vijiweni kushabikia na hata akili kufanya kazi ya kutafuta hamna. Ndo tatizo hilo
 
Back
Top Bottom