Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

Kweli mtu unahangaika na mpira ilihali jioni tu familia haielewi itakula nini? Yaani hakuna balance hata ya siku 1 mbele bank? Duuh , unasafiri toka Moro kwa ajili ya mpira badala ya mishe za kukuingizia kipato kusingatia hali ulionayo ya umasikini?
Ushabiki huo

Ova
 
Waafrika hatunaga vipaumbele kibinafsi na kitaifa kama nchi pia.
 
Ni half education sio little sekunde nyingine uwe makini
 
ila hii familia isispopewa hata msaada wa mazishi tu ntaamini afrika tumelaaniwa vibaya mnoo.
 
Ya nn kusafirisha wazee? Makaburi yaliojazana apa dar yte hayatoshi mazee? Em kuweni serious na resource za nchi bas at some point
 
Nilikua skui ila dar ndo sehemu pekee wamejaa watu washamba na wajinga sana japo wao huwa wanajiona wanaishi jijini ila asilimia kubwa ya wati wa Dar es salamaa ni washamba na malimbukeni sana
Iv inakuaje mtu unaenda uwanjani na huna tiket na wala hujagawiwa tiket uko ni kukosa kaz za kufanya na kuonesha ulimwengu jinsi gan watu wa dar ni washamba na wajinga

SA kwenye mechi ya marumo na Yanga ilikua ni bure mbona wa SA hawakuvunja mageti wala akuna alie kufa na tiket zilikua ni bure tena kulkua hakuna tiket ilkua ni bure

RIP na pole kwa familia ndugu jamaa na marafiki kwa kupoteza mtu muimu kmt familia , ukoo na jamii kwa ujumla
 
R.I.P MwanaYanga [emoji120]
 
Nikutakie utendaji mwema
 
Kweli mtu unahangaika na mpira ilihali jioni tu familia haielewi itakula nini? Yaani hakuna balance hata ya siku 1 mbele bank? Duuh , unasafiri toka Moro kwa ajili ya mpira badala ya mishe za kukuingizia kipato kusingatia hali ulionayo ya umasikini?
Mashabiki wengi wa haya mambo ni wapumbavu, malofa na wasio na mbele wala nyuma. Kushinda vijiweni kushabikia na hata akili kufanya kazi ya kutafuta hamna. Ndo tatizo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…