comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu
Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu
USHAURI WANGU:
Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania
Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao wanaihujumu timu, uongozi wote ajira wageni hela si ipo, mkiajiri WABONGO mtafeli Sana watu Wana timu zao