comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
sasa wao wenyewe ni simba sasa mamluki yupi tena?Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu
Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu
USHAURI WANGU:
Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania
Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao wanaihujumu timu, uongozi wote ajira wageni hela si ipo, mkiajiri WABONGO mtafeli Sana watu Wana timu zao
2 seasons??!Timu haina muunganiko hawajui wanafanya nini uwanjani
Hawatak na pale wamefuata hela tuuNa kimataifa nako uSimba na uyanga unahusikaje hebu nifafanulie kidogo. Kwani mashabiki wa Simba na Yanga hawataki Azam afike mbali kimataifa?
pale ni kujaza wachezaji kama 36 na salary za Kawaida. asiye pambana achezi simple watu wakae benchi hadi waoze. mind set ita change sana.Hawatak na pale wamefuata hela tuu
Popat humjui wewe.Abdulkarim Popat ni Yanga wa kulialia sana.Sisi tunaomfahamu hatuna shaka na uwananchi wake.Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu
Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu
USHAURI WANGU:
Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania
Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao wanaihujumu timu, uongozi wote ajira wageni hela si ipo, mkiajiri WABONGO mtafeli Sana watu Wana timu zao
Hata CEO Yule NI WA kuondoa, ndio inasemakana kwenye mech za simba anafanya figisu NI Simba lialiapale ni kujaza wachezaji kama 36 na salary za Kawaida. asiye pambana achezi simple watu wakae benchi hadi waoze. mind set ita change sana.
bonus ni wachezaji walio anza tu
hao wamiliki wa azam wote ni simba,kwenye mashindano ya kimataifa hawaweki nguvu yoyote,nguvu zao huziweka siku wanacheza na yangaNa kimataifa nako uSimba na uyanga unahusikaje hebu nifafanulie kidogo. Kwani mashabiki wa Simba na Yanga hawataki Azam afike mbali kimataifa?
Kweli kabisahao wamiliki wa azam wote ni simba,kwenye mashindano ya kimataifa hawaweki nguvu yoyote,nguvu zao huziweka siku wanacheza na yanga
Hoja yako ni mfu! Huyo Popat na Zakaza kazi wana impact gani uwanjani? Huwa wanawaambia wachezaji wafungwe?Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu