Russia ni stop-over. Final destination ni DubaiMzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Nyingi zitakua benki za Russia na DubengaKatembea na mpunga kidogo angesepa na trion2 usd
Itakua ivoNyingi zitakua benki za Russia
Mzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Wamepoteza madaraka na nyumbani. Kule mambo yanaweza kubadilika wakajikuta ICC bila kutegemea. Nimejifunza kuwa madikteta kama. akina Biya, Museveni, Eyadema, Kagame , Obiang, na wengine ni vishada vya maua. Wanatumia ukatili lakini hawana majeshi kwani nayo yanawachukia.Wameshakula sana mema ya nchi.
Na pesa wanazo za kula na kusaza.
Bila shaka hawana cha kupoteza
Kanzu, hijabu, nikab, baragashee yoote tupa kule kwa wapenda bikra wenye sigida.Mzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Na Magufuli.Madikteta wengi huwa na mwisho mbaya Mobutu, Idi Amin, Gadafi, Sadam Bokasa, Abacha.
Hahaha hiyo ni kwa manniger mieusii tii lakini ina sijdah kuubwaa kama full moon. Licha ya uweusi wao bado inaonekanaKanzu, hijabu, nikab, baragashee yoote tupa kule kwa wapenda bikra wenye sigida.
Nyumbu hovyo kabisa.Na Magufuli.
Hahaha hahahaNyumbu hovyo kabisa.
Russia kuna starehe zote!,Mzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Bora huko Urusi ana hakikisho la usalama.Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.