Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Sawa kabisa. Wanaenda kuishi Urusi kama vile wako “under house arrest” na hizo $2bn zao! No freedom of movement or speech.Naona hapo wamepoteza utu wao na nchi yao pia
Kuwa mkimbizi ni kitu kibaya sana mkuu
Unapoteza identity yako
Hela sio kila kitu mkuu especially za kujigawia
Yaani hapa duniani mtu unaweza kuwa na US$ 2bn na usiwe na raha!!???