Familia ya Bashar Assad

Familia ya Bashar Assad

Bora huko Urusi ana hakikisho la usalama.

Huko Dubai wangeweza kumgeuka na kumkabidhi kwa waasi waliompindua Ili wamshitaki kwa jinai alizofanya.
Zipo nchi ambazo ni lazima ziendeshwe na mkono wa chuma moja wapo ni Syria! (Time shall tell)
 
Hiko kibinti kuna mwanajeshi alijirekodi anadai anakipenda mnoo,ataishi nacho mpaka kufa.Alipotea mpaka leo hajulikani yuko wapi.
 
Wewe hapo medical school ulikuwa
Kwa taarifa yako huyo mama yeye ni Mwingereza walikutana Oxford University ambapo wote walikuwa wanafunzi na kuhitimu kama medical doctors.
mwaka wa ngapi?
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Mbona hao wanawake hawajajifunika mabaibui ya Allah sijui maushungi au kuziba nyiso? FaizaFoxy
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Dubai angekamatwa kama kuku, pia kule alikuwa adui wao pia. Sehemu salama kwakwe ni kwa washirika wake. Russia na Iran. Shida ya Iran Myahudi anafika popote kwa hiyo si salama kwake bora aende Urusi tu.
 
Hahaha mangi umenifanya nimecheka balaa
 
Wamepoteza madaraka na nyumbani. Kule mambo yanaweza kubadilika wakajikuta ICC bila kutegemea. Nimejifunza kuwa madikteta kama. akina Biya, Museveni, Eyadema, Kagame , Obiang, na wengine ni vishada vya maua. Wanatumia ukatili lakini hawana majeshi kwani nayo yanawachukia.

Russia yenyewe ni kuti kavu
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Hawa mafalla wameitafuna sana Syria
 
Wameshakula sana mema ya nchi.
Na pesa wanazo za kula na kusaza.
Bila shaka hawana cha kupoteza
Naona hapo wamepoteza utu wao na nchi yao pia
Kuwa mkimbizi ni kitu kibaya sana mkuu
Unapoteza identity yako
Hela sio kila kitu mkuu especially za kujigawia
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Russia watakuwa wanazitaka hizob$ bilioni 2
.
Yule aliyekuwa rais wa Ikraine aliyepinduliwa na wananchi akakimbilia Russi. Alipofika wakampa asylum, wakampangia mkoa wa kwenda kuishi lakini nyumba na kila kinu anunue kwa hela zake.
Hawana hel ya kuchezea wala hawa cha mgeni siku ya kwanza
 
Mmmmhhhh!!! Ya kweli haya??
Kitu kama nyumba ni nini kwa serikali??
 
Zipo nchi ambazo ni lazima ziendeshwe na mkono wa chuma moja wapo ni Syria! (Time shall tell)
Kwa akili yako utasema hata Tanzania ndivyo inavyotakiwa kutawaliwa.

Hakuna nchi ya namna hiyo. Ni pale ujinga na ushenzi vinapoendekezwa katika jamii ndipo watu wenye mawazo IRRATIONAL aina hiyo wanapojitokeza na kujiona ma-genius.

Huko Syria hiyo “time shall tell” itategemea tu ujinga na ushenzi wa jamii hiyo na support ya wajinga na washenzi wa nje waliokula Kona safari hii na kumuachia Bashar msala wake.
 
Back
Top Bottom