Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Zipo nchi ambazo ni lazima ziendeshwe na mkono wa chuma moja wapo ni Syria! (Time shall tell)Bora huko Urusi ana hakikisho la usalama.
Huko Dubai wangeweza kumgeuka na kumkabidhi kwa waasi waliompindua Ili wamshitaki kwa jinai alizofanya.
Kwa taarifa yako huyo mama yeye ni Mwingereza walikutana Oxford University ambapo wote walikuwa wanafunzi na kuhitimu kama medical doctors.Kanzu, hijabu, nikab, baragashee yoote tupa kule kwa wapenda bikra wenye sigida.
Wewe na mumeo wote kenge msiojitambua.Nyumbu hovyo kabisa.
O kwako kila mwarabu lazima awe na imani ya dini?Kanzu, hijabu, nikab, baragashee yoote tupa kule kwa wapenda bikra wenye sigida.
mwaka wa ngapi?Kwa taarifa yako huyo mama yeye ni Mwingereza walikutana Oxford University ambapo wote walikuwa wanafunzi na kuhitimu kama medical doctors.
Mbona hao wanawake hawajajifunika mabaibui ya Allah sijui maushungi au kuziba nyiso? FaizaFoxyMzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Dubai angekamatwa kama kuku, pia kule alikuwa adui wao pia. Sehemu salama kwakwe ni kwa washirika wake. Russia na Iran. Shida ya Iran Myahudi anafika popote kwa hiyo si salama kwake bora aende Urusi tu.Mzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Hahaha mangi umenifanya nimecheka balaaDubai angekamatwa kama kuku, pia kule alikuwa adui wao pia. Sehemu salama kwakwe ni kwa washirika wake. Russia na Iran. Shida ya Iran Myahudi anafika popote kwa hiyo si salama kwake bora aende Urusi tu.
Wamepoteza madaraka na nyumbani. Kule mambo yanaweza kubadilika wakajikuta ICC bila kutegemea. Nimejifunza kuwa madikteta kama. akina Biya, Museveni, Eyadema, Kagame , Obiang, na wengine ni vishada vya maua. Wanatumia ukatili lakini hawana majeshi kwani nayo yanawachukia.
Au nasema uongo ndugu yangu 😃?Hahaha mangi umenifanya nimecheka balaa
Hawa mafalla wameitafuna sana SyriaMzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Naona hapo wamepoteza utu wao na nchi yao piaWameshakula sana mema ya nchi.
Na pesa wanazo za kula na kusaza.
Bila shaka hawana cha kupoteza
Russia watakuwa wanazitaka hizob$ bilioni 2Mzuka wanajamvi!
Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356
Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.
Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Mmmmhhhh!!! Ya kweli haya??Russia watakuwa wanazitaka hizob$ bilioni 2
.
Yule aliyekuwa rais wa Ikraine aliyepinduliwa na wananchi akakimbilia Russi. Alipofika wakampa asylum, wakampangia mkoa wa kwenda kuishi lakini nyumba na kila kinu anunue kwa hela zake.
Hawana hel ya kuchezea wala hawa cha mgeni siku ya kwanza
Kwa akili yako utasema hata Tanzania ndivyo inavyotakiwa kutawaliwa.Zipo nchi ambazo ni lazima ziendeshwe na mkono wa chuma moja wapo ni Syria! (Time shall tell)