Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake.

"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na wakakiri kwamba wanamshikilia Katika kituo cha polisi kikuu Mbeya"

"Kaka yetu alitakiwa awe anaripoti kila Jumatatu alipofika wakamkamata"

"Familia tulipoenda kumpelekea Chakula wakasema hayupo na hawajui alipo, baada ya siku Kadhaa kama familia tukaendelea kifuatilia tukagundua yupo Kituo cha Polisi Inyala Jijini Mbeya."

"Tulipoenda Inyala tulimpelekea chakula hawakutana tumuone wakasema yupo ila hatutakiwi kumuona baada ya kweli baada ya Muda ikaja gari landcruzer ikiwa na Tinted ikamchukua mzee wetu kwa macho yetu tunaona ikaelekea uelekeo njia ya kwenda Iringa."

"Baada ya hapo hatujawahi kumuona tena ndugu yetu hatujui anakula nini? Kama anamakosa apelekwe mahakamni kwanini hawataki kumpeleka mahakamani kama shwria inavyotaka? Hatujui ni mzima au wamemuua kama wamemuua watupe maiti yetu tukazike." Sisi kama familia tunalitaka jeshi la Polisi liseme alipo ndugu yetu."

Pia Soma: Clemence Mwandambo akamatwa (tena) na Polisi kwa tuhuma za kijinai

1767446423682.png
 
Police wenyewe si walisema wamemkatama?
Acheni UJINGA nyie mafala wa kijani
 
TAARIFA

"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na wakakiri kwamba wanamshikilia Katika kituo cha polisi kikuu Mbeya"

"Kaka yetu alitakiwa awe anaripoti kila Jumatatu alipofika wakamkamata"

"Familia tulipoenda kumpelekea Chakula wakasema hayupo na hawajui alipo, baada ya siku Kadhaa kama familia tukaendelea kifuatilia tukagundua yupo Kituo cha Polisi Inyala Jijini Mbeya."

"Tulipoenda Inyala tulimpelekea chakula hawakutana tumuone wakasema yupo ila hatutakiwi kumuona baada ya kweli baada ya Muda ikaja gari landcruzer ikiwa na Tinted ikamchukua mzee wetu kwa macho yetu tunaona ikaelekea uelekeo njia ya kwenda Iringa."

"Baada ya hapo hatujawahi kumuona tena ndugu yetu hatujui anakula nini? Kama anamakosa apelekwe mahakamni kwanini hawataki kumpeleka mahakamani kama shwria inavyotaka? Hatujui ni mzima au wamemuua kama wamemuua watupe maiti yetu tukazike."

"Sisi kama familia tunalitaka jeshi la Polisi liseme alipo ndugu yetu."
 
Daaaaa huyo ni mateso na kumpotezeaa mudaa....ataletwa Dar ambapo labda ndugu wachache au ....hata Njombe wanatafuta connection kufungua mashitaka baada miezi 2 wa hoi watampa k3si haina dhamana wakae nae m2aka kumpunguza nguvuuu......Pole Mzee mwandambo hakika wewe ni jasiri
 
Huyu mwandambo anayemtukana Mungu! hata kama watammaliza ni sahihi 100% watu tunaowalilia na kuwaombea ni akina Mh: T. Lissu.
 
Acha kuomba mazee unaomba huyu amalizwe na yule apone ndio maana Lissu anapata wakati mgumu kumbe mpo watu mna maombi tofauti inapelekea hata wasio na hatia kubaki gerezani..
 
nimeunda tume ya kufanya maridhiano ya kitaifa.
Huku watu Wana tekwa.
😄😄😄.huyu mama mimi amenitokaa
 
Haya yanayofanywa ni copy and paste aliyoyafanya Maduro
 
Back
Top Bottom