Familia ya Diamond yatilia shaka mimba ya Zari

Familia ya Diamond yatilia shaka mimba ya Zari

Watu mnakosaga kazi za kufanya aisee,Yan mnakesha kwenye mitandao kuongelea maisha ya mwenzenu,Jaman tafuten pesa,tafuten pesa,pesa ndio kila kitu kukaa mnajadili maisha ya mtu wala haiwasaidii!!!Tafuten pesa guys
 
Wenzio umbea tunafanyia kazi sio fashion, tukuulize wew kaz yako, maana umekalia umbea kulipwa haulipw mxiuuuu
 
Tusubiri mtoto azaliwe basi ndio tutajua moja.Maneno hua mengi wakati wa mimba lakini mtoto akishazaliwa ndipo majibu hupatikana.

Babuu wee mtoto wa watu yule, mmh binamu umeona mkomboti wa ommy dimpoz?
 
Nipo lete dili Lakin lisiwe la mtoto lulu at a mtoto sina sitak kurest in peace

Ahahh ARV si zipo binamu kwani kitu gani? Mbona nanii anao toka kitambo mpaka sasa ivi anadunda, kwa hyo nikikuletea mbunye ya lulu sa ivi utaikataa?
 
Ila binamu we mmbea pamoja na dada yako Dinazarde, Nifah.

AHahaha binamu pole nasikia mlirudishwa na ubaloz wa Tz south, ndio ukome na wewe kutaka makubwa, hyo yote umpate binamu yangu Dinazarde matokeo yake umerud bongo patupu mxiuuuu
 
Last edited by a moderator:
Tusubiri mtoto azaliwe basi ndio tutajua moja.Maneno hua mengi wakati wa mimba lakini mtoto akishazaliwa ndipo majibu hupatikana.

Umeskia umbea wa domo?? Jamani msikose insta leo saa moja ni shidaaaa
 
Babuu wee mtoto wa watu yule, mmh binamu umeona mkomboti wa ommy dimpoz?

Niuone wapi binamu nimeona uzi kufungua tu umeshafutwa.
Weka huko insta basi tujionee sie maana hizi sheria za JF zunatubana sana.
 
Back
Top Bottom