Familia ya Diamond yatilia shaka mimba ya Zari

Sidhani kama kuna mwanaume mwehu anayeweza kuacha mimba yake ifanyiwe biashara na Diamond na Zari,
Wa tz sisi wa ajabu sana aisee, yani kwetu Kila siku upepo unabadilika

1. Before dating yake na Zari, Diamond ali post pic akiwa kwenye ndege na Zari, watu wakasema hawezi kum date Zari, sijui eti Zari yuko juu, iyo pic watakua walipanda ndege moja akamuomba Zari wapate Selfie
2. Wame date mtu kabebeshwa zigo kabla ya tumbo kuonekana, watu wakasema ooh uzushi Zari hana mimba mbona hana tumbo
3. Tumbo limeonekana upepo ume change, eti ooooh mimba sio yake, Diamond hana uwezo wa kumpa mtu mimba.

Kaaazi kweli kweli.
 
Fact mkuu ile mimba ni yake domo watz tuache uzushi
 
Wacpojichunguza na katika facts hizi kuwa wanamatatizo, basi ni kweli wana matatizo...coz yote uliyoyaandika ni kweli tupu kabisa,yani lazima tu wanegate mambo cjui ata vichwa vya watu wengine vinafikiriaje aisee!
 
AHahaha binamu pole nasikia mlirudishwa na ubaloz wa Tz south, ndio ukome na wewe kutaka makubwa, hyo yote umpate binamu yangu Dinazarde matokeo yake umerud bongo patupu mxiuuuu

Binamu mizulu ina roho mbaya balaa kisa tunauza pipi na apple kwao , inatuchukia . Je, tungekuwa madokta kwao sijui ingekuaje?
 
waliunganisha vikojoleo hata mimba yaweza pia ikawa ya dimond.

zari mjanja kajua mswahili anapenda sifa kambebea mimba ili apapatike hadi apite kwao kwa speed
 
mtoto anazaliwa baba Diamond mama Zari mara akikua anaanza kuangalia watu walivyokuwa wanapost kuhusu mimba yake sijui atajisiaje
 
Back
Top Bottom