mi nna wasiwasi huyu dogo atakujaga kulia......!!!!
Ila binamu we mmbea pamoja na dada yako Dinazarde, Nifah.
Dah! wewe mtu wa ajabu sana. Hutamani Dimond awe na mtoto?Mpaka familia imetilia shaka mimba ya zari, basi kazi ipo
Watu mnakosaga kazi za kufanya aisee,Yan mnakesha kwenye mitandao kuongelea maisha ya mwenzenu,Jaman tafuten pesa,tafuten pesa,pesa ndio kila kitu kukaa mnajadili maisha ya mtu wala haiwasaidii!!!Tafuten pesa guys
Money Stunna uko wapi binamu, nina dil natak nikupe
Watu mnakosaga kazi za kufanya aisee,Yan mnakesha kwenye mitandao kuongelea maisha ya mwenzenu,Jaman tafuten pesa,tafuten pesa,pesa ndio kila kitu kukaa mnajadili maisha ya mtu wala haiwasaidii!!!Tafuten pesa guys
Babuu wee mtoto wa watu yule, mmh binamu umeona mkomboti wa ommy dimpoz?
Umeskia umbea wa domo?? Jamani msikose insta leo saa moja ni shidaaaa