Niuone wapi binamu nimeona uzi kufungua tu umeshafutwa.
Weka huko insta basi tujionee sie maana hizi sheria za JF zunatubana sana.
Katunzi katulia tulii anasubiria mbegu yake, huyu ngonyani mwache auzie sura mimba za watu maana hana uwezo wa kumpa mwanamke mimb
Nimeweka ila bado hapajachangamka, nasubir followers wajae kidogo nishushe vitu,mmh ni shidaa usije ukaipigia punyeto tu
Kama Diamond hana uhakika kama ni yake huyo katunzi amejuaje ni yake wakati mtoto hajazaliwa?,,,,,,,,Mtu pekee wa kujua Baba wa mtoto ni Zari na wala si mwingine....kwa hiyo bora kusema mimba haina mwenyewe kuliko kusema siyo ya! Diamond ni ya Katunzi
Niuone wapi binamu nimeona uzi kufungua tu umeshafutwa.
Weka huko insta basi tujionee sie maana hizi sheria za JF zunatubana sana.
Chanzo hicho kikizidi kumwaga ubuyu mbele ya kinasa sauti chetu kwamba, baada ya Diamond kubanwa na nduguze, alithibitisha kuwa Zari ndiyo kila kitu kwake kwa sasa, hivyo wasiwe na shaka yoyote juu ya kiumbe kinachotarajiwa kuzaliwa.
Mbona picha imeshawekwa insta? Nawe jana si nilikuambia tufungue fekero wewe bado tu?
Bado sijafungua napitwaje sasa huko.
Nenda pm nimekupa maelekezo fanya hivyo bwana.
Nipo lete dili Lakin lisiwe la mtoto lulu at a mtoto sina sitak kurest in peace
Babuu wee mtoto wa watu yule, mmh binamu umeona mkomboti wa ommy dimpoz?
AHahaha binamu pole nasikia mlirudishwa na ubaloz wa Tz south, ndio ukome na wewe kutaka makubwa, hyo yote umpate binamu yangu Dinazarde matokeo yake umerud bongo patupu mxiuuuu
Umeskia umbea wa domo?? Jamani msikose insta leo saa moja ni shidaaaa
kitu unanunua mbuzi ndani ya gunia au unauzia mzigo bosheni wakati wenye mzigo wametulia zao uganda. huyu dogo atakuja kulia ka mtoto nyie subirini tu