Sidhani kama kuna mwanaume mwehu anayeweza kuacha mimba yake ifanyiwe biashara na Diamond na Zari,
Wa tz sisi wa ajabu sana aisee, yani kwetu Kila siku upepo unabadilika
1. Before dating yake na Zari, Diamond ali post pic akiwa kwenye ndege na Zari, watu wakasema hawezi kum date Zari, sijui eti Zari yuko juu, iyo pic watakua walipanda ndege moja akamuomba Zari wapate Selfie
2. Wame date mtu kabebeshwa zigo kabla ya tumbo kuonekana, watu wakasema ooh uzushi Zari hana mimba mbona hana tumbo
3. Tumbo limeonekana upepo ume change, eti ooooh mimba sio yake, Diamond hana uwezo wa kumpa mtu mimba.
Kaaazi kweli kweli.

AHahaha binamu pole nasikia mlirudishwa na ubaloz wa Tz south, ndio ukome na wewe kutaka makubwa, hyo yote umpate binamu yangu Dinazarde matokeo yake umerud bongo patupu mxiuuuu
Nimeweka ila bado hapajachangamka, nasubir followers wajae kidogo nishushe vitu,mmh ni shidaa usije ukaipigia punyeto tu