Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Wamejazana Waarab tu na waswahili wenye shobo... ukiona waswahili wanafanya kazi pale ujue ni Koneksheni. Ndugu zao wanajitia wanajuana na matajiri wakaombana misaada ndo mana wako pale. Hakuna mtu yuko pale kwa Qualifications bali koneksheni.Niliposoma hiki kistatement nikajua hizi ni story za vijiweni
"Ile Silent Ocean ilibaki kuoparate kwa sababu inasemekana haikusajiliwa Tanzania japo iliwakenga wafanyabiashara wa Tanzania"
Ile ni private company sio kampuni ya serekali Kosa lao ni lipiWamejazana Waarab tu na waswahili wenye shobo... ukiona waswahili wanafanya kazi pale ujue ni Koneksheni. Ndugu zao wanajitia wanajuana na matajiri wakaombana misaada ndo mana wako pale. Hakuna mtu yuko pale kwa Qualifications bali koneksheni.
Mabilioni yaliyolipwa unajua yalienda wapi?Alikuwa mzalendo wa kweli, mola ailaze roho yake mahali pema peponi!
Uwiz ulikua wazi wazi bila hata kificho lakin still watu wanamsifiaMabilioni yaliyolipwa unajua yalienda wapi?
Hivi msioona wizi wa yule jamaa basi naamini uchawi upo
Hela za plea bargain zilienda wapi?
TUlishuhudia mabulungutu ya mabilioni akiyapokea Biswalo ofisini kwake,yaliishia wapi?
Mzalendo my a$$.
Wajinga tu waliolishwa upuuzi wa uzalendo bandia ndio walikuwa wanamsifia.Uwiz ulikua wazi wazi bila hata kificho lakin still watu wanamsifia
Propaganda gani wakati ni vitu dhahiri. Wakati wa utawala wake hakuna watu aliobambikia kesi? Hakuna watu waliokuwa wakitekwa baada ya kumkosoa? Hakuna watu waliokuwa wanapotezwa, na wengine kuteswa baada ya kuhoji matendo yake? Report ya CAG haikusema kuwa 1.5 trilion hazikuonekana mahali popote kwenye matumizi wakati zilikuwa zimechotwa hazina, na yeye akawa mkali na kumtishia CAG, baadaye kumwonfoa kwa kukiuka katiba?Can you prove???au ndio zile propagandq za cdm ,muacheni mzee baba apumzike alikuwa mzalendo wa kweli kazi yake imeonekana sio hao walamba asali
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu alijipa kibali yeye na watu wake kuiba na kupora bila kubughudhiwa. Ole wako uibe ambaye hajakuidhinisha.Kipindi cha Magufuli ndio Mnyeti na Makonda walikuwa watu wa kawaida sana ila baada ya kuteuliwa wakawa mabilionea
Nyie matajili na walamba asali endeleeni kula si atunashida tutasubili makombo , tunajuwa kilicho chetu chenu na chakwenu Kwa sasa ni chenu ,R.I.P magu ulifanya vyote vetu wakakasilika da basi Tena shetani kafanya Tena vyao,Propaganda gani wakati ni vitu dhahiri. Wakati wa utawala wake hakuna watu aliobambikia kesi? Hakuna watu waliokuwa wakitekwa baada ya kumkosoa? Hakuna watu waliokuwa wanapotezwa, na wengine kuteswa baada ya kuhoji matendo yake? Report ya CAG haikusema kuwa 1.5 trilion hazikuonekana mahali popote kwenye matumizi wakati zilikuwa zimechotwa hazina, na yeye akawa mkali na kumtishia CAG, baadaye kumwonfoa kwa kukiuka katiba?
Ni mambo gani makubwa aliyoyafanya kwenye uchumi?
Kudondosha thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo kwa 50%, ndiyo unasema mambo makubwa aliyoyafanya ya kuonekana?
Kuporomosha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4% ndiyo mambo makubwa unayosema aliyafanya ya kuonekana?
Au ni kule kufifisha ukuaji wa utalii toka 15% mpaka 3.6%?
Au makubwa unayoongelea ni yale yaliyothibitishwa na CAG aliyeteuliwa na yeye mwenyewe, kuwa aliiba pesa yote waliyolipa aliobambikia kesi za uhujumu uchumi?
Hakika mema aliyoyafanya ni machache sana ukilinganisha na uharibifu alioufanya.
Unadhani Mwalimu Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete hawakufanya makosa wakati wa utawala wao? Sidhani, lakini makosa yao ni machache sana ukilinganisha na mazuri yao. Mathalani, Mwalimu Nyerere, sijui utakuwa mtu wa namna gani kama utasimama hadharani na kumnenea vibaya. Yeye alikuwa mzalendo hasa, na maisha yake yote yalipambwa na uzalendo wa kweli, siyo uzalendo magumashi kama wa huyu mwenzetu wa karibuni. Huwezi kuwa mzalendo halafu unaiba hela ya Taifa au unaua watu wanaokemea maovu yako, au unawabambikia kesi wenzako ili watoe pesa yao uipore wewe. Mtu wa namna hiyo ana tofauti gani na jambazi anayekuja amekushikia bunduki halafu anakuambia, nipe pesa?
Wakati wa uhai wake isingewezekana kuunena uovu wake na bado ukaendelea kuwa hai. Kwa sababu aliwazuia watu kuunena uovu wake akiwa hai, atasemwa sana wakati akiwa hayupo nasi ili pia wale waovu wenzake ambao bado tunao hadi leo, wanaotetea maovu yake wapate la kujifunza.
Kutesa kwa zamuNyie matajili na walamba asali endeleeni kula si atunashida tutasubili makombo , tunajuwa kilicho chetu chenu na chakwenu Kwa sasa ni chenu ,R.I.P magu ulifanya vyote vetu wakakasilika da basi Tena shetani kafanya Tena vyao,
Aya ila jitaidini kutufanya atuna akili Ili mle vizuri ,mkikosea tu azitalika vizuri, sisi tunaenunua mchele sh 3500 nyama 9000 nakibarua nalipwa 10000 wali kwangu umekuwa anasa ,kama bashiru alivyosema na piga winga Siku akili ikitoka miguuni na kujaa kichwaani sijuiitakuwajeKutesa kwa zamu
Mpaka akili ziwakae sawa sio leoAya ila jitaidini kutufanya atuna akili Ili mle vizuri ,mkikosea tu azitalika vizuri, sisi tunaenunua mchele sh 3500 nyama 9000 nakibarua nalipwa 10000 wali kwangu umekuwa anasa ,kama bashiru alivyosema na piga winga Siku akili ikitoka miguuni na kujaa kichwaani sijuiitakuwaje
Poa SS wajinga tulikuwa tunakula wali mpaka asubui ,na maofisini tulikuwa tunaeshimika tukienda ,hospitali I pia kweli ilikuwa kama Tanzania ilikuwa paladiso ,uchumi ulikuusu weweWatu wajinga wajinga kama ninyi ndio mlikuwa mtaji wa dikteta Magufuli. Aliwapenda sana watu wasio na akili ambao angeweza kuwamezesha kila atakacho. Uchumi unadondoka, anawaambia kuwa sasa hivi tupo vizuri, bila kuhoji, mnashangilia.
Hakuna mwenye akili timamu ambaye ataleta habari za shanga na viuno, watu wanapojadili mambo ya maana. Inaonekana wewe ni low mind, akili yako imeishia huko kwenye shanga. Jukwaa hili siyo mahali pako. Hapa ni kwaajili ya watu wenye akili, wanaoweza kutoa hoja siyo vioja.
Tani 90,000 ziko majini zinakujaAya ila jitaidini kutufanya atuna akili Ili mle vizuri ,mkikosea tu azitalika vizuri, sisi tunaenunua mchele sh 3500 nyama 9000 nakibarua nalipwa 10000 wali kwangu umekuwa anasa ,kama bashiru alivyosema na piga winga Siku akili ikitoka miguuni na kujaa kichwaani sijuiitakuwaje
Daa Sudan,SOMALIA,Kenya wao wanakula mchele safi TOKA Tanzania SS tunadekezwa na mchele wa wapi vile maana atasijui unatoka wapi, . Kweli hii tanzaniaTani 90,000 ziko majini zinakuja
Kwani hujui Chato alijenga strong room yake ya kuhifadhi pesa alizokuwa akipora watu?Bila kulipa wangekuwa segerea,mabilioni yalilipwa ila haijulikani yaliingizwa kwenye akaunti ipi
Mkoa wa Mara una Kabila nyingi, hivi ni makosa kusema Mzanaki na muikizu ni jamii moja? Mzaramo na mkwere ni Kabila mbili tofauti lakini je si jamii moja hii?Kama kitu haukijui kaa kimya hivi unajua hayo ni makabila tofauti ambayo hayafanani kwa lolote lile?
Ww unaongeaga upumbavu sana. Jitafakari.Kwani hujui Chato alijenga strong room yake ya kuhifadhi pesa alizokuwa akipora watu?
Sabaya alisemaje? Oparesheni za kijambazi alikuwa akitumwa na Nañi?