Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

Mkapa aliwachukia wamakonde wenziwe.
JPM aliwachukia wachaga na nduguze wahaya
 
Alikuwa mzalendo wa kweli, mola ailaze roho yake mahali pema peponi!
Uzalendo ni kuiba 1.5 trilioni?

Uzalendo ni kuwabambikia watu kesi, kisha kuwapora pesa zao, na baadaye yeye binafsi kuzipora?

Uzalendo ni kuteka, kuua na kupoteza watu wenye kumkosoa?

Hivi kwa tafsiri yako mtu mzalendo ni mtu mwizi na anayeonea watu?
 
Ukiwa na mawazo hayo huwezi kupata, labda ujifanye fisadi mwenzao halafu ukikalia kiti ndio uwageuke, Ila usisahau kovid ya bagamoyo huenda ikakuhusu
 
Naskia manji alimwambia mi "apana ongea na mbwa,iko ongea na yenye mbwa,!!
Alipobananishwa kupimwa mkojo alikoma!!nafanza nini bana gufuli
Manji hawezi kumsahau Jpm
 
Sasa wamerudi upyaaaaaa!
Sio kurudi upya. Wanarudi kwa nguvu kubwa kabisa. Tena inasemekana gsm anaongeza viwanda vipyaaaaa. Vya vinywaji, mafuta ya kula, sabuni, chuma/nondo na kuongezea malori mengine πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ

Achana na kitu inaitwa hela. Nasubiria comment ya popoma mwandamizi genta, nimekaa paleee πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ
 
Hata mimi ningekuwa na kampuni, halafu kukatokea upenyo wa kukwepa kodi! Aisee ningekwepa kwa moyo mkunjufu kabisa.

Maana hizo kodi zenyewe kwa sehemu kubwa zinawanufaisha watu wachache tu.
Ni kama hao ambao Magufuli aliwabana na kuwatisha, halafu baada kulipa, yeye Magufuli binafsi akaziiba hizo fedha zote.
 
Haya ni maneno wanayokaririshwa watu ili wamchukie JPM, yule jamaa asingekufa hii nchi ingeendelea sana kiuchumi....now hamna namna, tuendelee tu kuongozwa na mifisadi.
 
Haya ni maneno wanayokaririshwa watu ili wamchukie JPM, yule jamaa asingekufa hii nchi ingeendelea sana kiuchumi....now hamna namna, tuendelee tu kuongozwa na mifisadi.
Nchi hii mafisadi wapo kila awamu,ukisoma ripoti ya CAG utashangaa sana ilikuwaje wakathubutu kupiga hela mbele ya JPM,tena walipiga aswaa
 
Isha chuja hiyo 1.5T inayo hit sasa ni tozo maji na umeme kukatika kama kiuno cha mmakonde mwenye shanga.
 
Jk ni share holder kwenye gsm, hawa ni majambazi wanaolindwa na dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…