TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
πππAlikuwa mzalendo wa kweli, mola ailaze roho yake mahali pema peponi!
Kama shingpi mkuu hyo wanayo daiwa nataka kuwalipiaHao silent wanadaiwa makodi kibao na hakuna anayewasumbua
Huyu alikuwa ni SHWETWANI ,ni Mungu tu alitupenda zaidi..ila hii nchi ilikuwa inaendaa kucollapse kama Greece..hakika acha Mungu aitwe MunguNatamani kama stori iendelee....
All in all Tanzania ilipoteza tarehe 17.03.2021
JPM ni Rais anaeishi mioyoni mwa watu atakumbukwa daima.
Warundi ambao ni ndugu zake wa damu aliwachukia pia !.Mkapa aliwachukia wamakonde wenziwe.
JPM aliwachukia wachaga na nduguze wahaya
Hadi akaamua kuachana na Utanzania na kuchukua uraia wa US, si mchezo, itakuwa aliminywa mbupu hasa!Manji hawezi kumsahau Jpm
Shukuru Mungu kuwa upepo wake haukukupitia!Natamani kama stori iendelee....
All in all Tanzania ilipoteza tarehe 17.03.2021
JPM ni Rais anaeishi mioyoni mwa watu atakumbukwa daima.
Huna akili wewe! Kwa mawazo yako mepesi kama bao la kuku wewe hujaathirika na uhujumu huo uliofanywa na hao waarab hapo kwa miaka yote hiyo?! Rangi nyeusi hii aliyetulaani naona kashakufa... hivi seriously mtu unatoa jibu hili kuonesha wazi huumii na huelewi kinachoendelea. Mungu akusaidie, ungeenda shule ungeelewa. Tatizo watu weusi uzalendo ni "0%" na unafiki ni "100%"Sawa walipiga magoti sisi tufanyeje sasa?
Ndio hivyo... putin alisema kuwa kinacho heshimiwa ni madaraka ukiyakosa au yakiondoka ndio basi tena...Picha ya mtu akitembea na magoti au
Tumerogwa sieNawashangaaga sana wale jamaa wanaojipendekezaga na hao kina Salaah, sijui GSM sijui nani... hao jamaa ni washenzi tu! Ndo mana wenzetu watasha wanafanikiwa sana! Ufanikiwe nchini kwao na kodi usilipe halafu na humohumo nchini kwao unapata wafuasi wanajitia marafiki zako wa karibu huku unawanyonya tu π
Dahh! Afrikaaaa ni nani alikuroga wewe na watu wako?!
Ni kama wale Guptas wa BondeniNa jamaa sahvi wananyoosha balaa
Ova
Trilioni 2 zetu alipeleka wapi!?Alikuwa mzalendo wa kweli, mola ailaze roho yake mahali pema peponi!
Yaani ulichosoma ni kichwa habari tu na hiyo inatosha kukupa ujasiri wa kuchangia mada.Sawa walipiga magoti sisi tufanyeje sasa?
Takwimu za ukuaji uchumi zikoje kabla na wakati wa utawala wake?..ili tuone huo uchumi uliivyokua unakuaHaya ni maneno wanayokaririshwa watu ili wamchukie JPM, yule jamaa asingekufa hii nchi ingeendelea sana kiuchumi....now hamna namna, tuendelee tu kuongozwa na mifisadi.
Wakati baba yao anafanya biashara za mazao,babu yako alikua akiongeza wake na kuelewa tuJk ni share holder kwenye gsm, hawa ni majambazi wanaolindwa na dola
Acha ufala wewe! Nina elimu ya kumzidi huyo CAG wenu huko chooni kwenu Bongo... Na wewe nikuulize unaijua siasa wewe?!Unamjua CAG!?..ni nani?!