Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

Umeongea ukweli mwingi sana hapa Ila Kuna sehemu umepuyanga, maana yote uliyosema nayajua
 
Umejitahid sana kufanya Uongo uonekane kama Kweli.

Anyway nimesoma.
 
Haya ni maneno wanayokaririshwa watu ili wamchukie JPM, yule jamaa asingekufa hii nchi ingeendelea sana kiuchumi....now hamna namna, tuendelee tu kuongozwa na mifisadi.
Ushahidi hata hawana,ni zengwe tu wameaamua kumpaka matope!!
 
Sijasoma mitaala ya kishamba na ya kuandaliwa kuwa masikini wa mawazo, uchumi na kutawaliwa. POLE SANA MZEE UNAEZEEKA HATA 200M HUNA! UNAISHIA KUTETEA WANAUME WENZIO TENA WANA ASILI ZA MBALI(ASILI ZA KISHENZI) TENA MPAKA MISULI INAKUTOKA POLE SANA MZEE! LEA WAJUKUU NA TUMIA VIZURI PENSHENI USIJE KUISHIA KWENYE STROKE NA SUKARI.
 
Mara nyingi mafisadi yako serikalini tena vyeo vya juu kabisa. Hawa wengine wanaonewa tu
 
Hakuna fisadi kama jiwe sasa!
 
Walivyo Lipa kimya kimya bila wenye nchi kutangaziwa hizo PESA ziliingia account gani???
 
Unapenda tuwe na watu kama makonda na sabaya? Au yule anayesema mukichagua upinzani sahauni mimi kuwaletea maendeleo jimboni kwenu? Au yule aliekabomoa nyumba dar ila kule mwanza akadai wasibomolewe kisa walimpigia kura?
Sasa kwann serekali ya Sasa HV isibomoe nyumba hzo alizozitetea magu
 
Sawa walipiga magoti sisi tufanyeje sasa?
Ombolezeni kwa mayowe!........ msiache kuomboleza hata kimoyo moyo basi!...yaani mjue unyama wa watoto wa wakulima ambao Mungu hakuwachagua kimaongozi!...msirudie tena kosa km hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…