Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
binadamu hajawahi kuridhikaWakiongea wakiwa njee mnasema ni vibaraka mnataka waje front ili muamini kua ni wazalendo
Wakija hapa kama Pole Pole ooh yalikua makosa hivi mnatakaje?
Kama tulivyoelezwa na mleta sledi.π«ͺπ«ͺπ«ͺπ«ͺ
Kweli eeh ?
Hatunae tena eeh?
πππ
Noma sanabinadamu hajawahi kuridhika
Inasikitishaaa sana , wenyewe kwa wenyewe hiyooKama tulivyoelezwa na mleta sledi.
Very sad.Kama ni kweli,HP is no more,basi amekufa kama shahidi halisi.Aliomba radhi Watanganyika na kuanika madudu/maovu ya watesi wao.Inasikitishaaa sana , wenyewe kwa wenyewe hiyooView attachment 3609561
Inasikitisha sana sana sanaNchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.
Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence dhaifu haijapata kutokea. Pelepole ata angerudi bongo ila Kila siku akawa anatamba kuwa Yuko US au Sweden na akawa anakuja hewani Kwa masaa ya hizo nchi wasingempata.
Sasa tunajua wote kulichomkuta, Polepole alichukuliwa na polisi walioongozwa na Mafwele. Kila siku familia yake imekuwa ikitoa vitisho vya kutaka aachiliwe.
Jana nilipata very classified information, kuwa Polepole alikufa mwezi huo huo wa kumi alipotekwa. Na watu wanaojua kabisa Polepole alifukiwa wapi ni Mafwele na Muliro.
So familia ya Polepole don't waste your time kuomba sijui ndugu yenu aachiliwe. Ndugu yenu hatunae tena. Kama mna ubavu rukeni na Muliro au Mafwele mtapata classified information.
Chakufanya wekeni msiba na mzike ata nguo.
Aione
Jastine Faustine Mafwele.
Mto wa Mbu
State of Illinois.
Upo sahihi, Taarifa ya Kifo cha Polepole na Mdude nilizitoa hapa jukwaani kwa ufasaha. Aany way Damu ya Mtu haipotei Bure. Pamoja na kuranda randa na marange rover mtaani kwenye misafara, hana Amani ya moyo, anateseka sana. MUNGU YUPO NA ANAISHI, MILELE NA MILELE, AMEN.Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.
Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence dhaifu haijapata kutokea. Pelepole ata angerudi bongo ila Kila siku akawa anatamba kuwa Yuko US au Sweden na akawa anakuja hewani Kwa masaa ya hizo nchi wasingempata.
Sasa tunajua wote kulichomkuta, Polepole alichukuliwa na polisi walioongozwa na Mafwele. Kila siku familia yake imekuwa ikitoa vitisho vya kutaka aachiliwe.
Jana nilipata very classified information, kuwa Polepole alikufa mwezi huo huo wa kumi alipotekwa. Na watu wanaojua kabisa Polepole alifukiwa wapi ni Mafwele na Muliro.
So familia ya Polepole don't waste your time kuomba sijui ndugu yenu aachiliwe. Ndugu yenu hatunae tena. Kama mna ubavu rukeni na Muliro au Mafwele mtapata classified information.
Chakufanya wekeni msiba na mzike ata nguo.
Aione
Jastine Faustine Mafwele.
Mto wa Mbu
State of Illinois.
Wasukuma ushamba wao huwa unawaponza sana..Kupost post mitandaoni na upo ndani ya nchi na unatafutwa na Dola ni moja ya Makosa makubwa sana.
Tena ukijua unapambana na Namba moja.
Kosa jingine ni kurekodi ile video akiwa sijui Victoria pale Makumbusho. Akisema hapa niwapi.
Eneo lile makamera yamejaa kila kona.
Usitake kuniambia hakuwa amepanda gari wakari anaondoka.
Kuwataja taja baadhi ya watu ni kuhatarisha usalama wa unaowataja na usalama wake mwenyewe
Sema ardhi ya Tanzania imekunywa damu aisee, nikiangalia picha za mtukio ya 29 October kama yule mama anakimbia na ninasikia alikuwa na mimba, katoto kake kanamuamsha mama mamaaa πππ.. ardhi imekunywa damuu aiseee.. acha niruke zangu mbele aiseeVery sad.Kama ni kweli,HP is no more,basi amekufa kama shahidi halisi.Aliomba radhi Watanganyika na kuanika madudu ya watesi wao.
Humphrey Polepole "ni" msukuma?Wasukuma ushamba wao huwa unawaponza sana..
Nitag kwenye hiyo taarifa mkuu nijiridhishe , ila ushunguu sanaa nchi inakunywa damu kweli kweliUpo sahihi, Taarifa ya Kifo cha Polepole na Mdude nilizitoa hapa jukwaani kwa ufasaha. Aany way Damu ya Mtu haipotei Bure. Pamoja na kuranda randa na marange rover mtaani kwenye misafara, hana Amani ya moyo, anateseka sana. MUNGU YUPO NA ANAISHI, MILELE NA MILELE, AMEN.
Jamii hizo hizoHumphrey Polepole "ni" msukuma?
Kama kweli una damu ya Kitanganyika utarudi tu.We said that before you had.Sema ardhi ya Tanzania imekunywa damu aisee, nikiangalia picha za mtukio ya 29 October kama yule mama anakimbia na ninasikia alikuwa na mimba, katoto kake kanamuamsha mama mamaaa πππ.. ardhi imekunywa damuu aiseee.. acha niruke zangu mbele aisee
Ndio hivyo inavyokua we unafikiriaje? Ungekua wewe kwa mfano ungefanyaje? Jibu lako: ningekua mimi ningeenda kujibanza mbali kabisa huko nisionekane tenaWakiongea wakiwa njee mnasema ni vibaraka mnataka waje front ili muamini kua ni wazalendo
Wakija hapa kama Pole Pole ooh yalikua makosa hivi mnatakaje?
Sio Victoria pale ni kwenye Mnara wa Askari Monument ipo kwenye makutano ya Samora na Azikiwe, maeneo ya Posta pembeni ya Salamander TowerKupost post mitandaoni na upo ndani ya nchi na unatafutwa na Dola ni moja ya Makosa makubwa sana.