Logic ndogo tu.Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.
Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence dhaifu haijapata kutokea. Pelepole ata angerudi bongo ila Kila siku akawa anatamba kuwa Yuko US au Sweden na akawa anakuja hewani Kwa masaa ya hizo nchi wasingempata.
Sasa tunajua wote kulichomkuta, Polepole alichukuliwa na polisi walioongozwa na Mafwele. Kila siku familia yake imekuwa ikitoa vitisho vya kutaka aachiliwe.
Jana nilipata very classified information, kuwa Polepole alikufa mwezi huo huo wa kumi alipotekwa. Na watu wanaojua kabisa Polepole alifukiwa wapi ni Mafwele na Muliro.
So familia ya Polepole don't waste your time kuomba sijui ndugu yenu aachiliwe. Ndugu yenu hatunae tena. Kama mna ubavu rukeni na Muliro au Mafwele mtapata classified information.
Chakufanya wekeni msiba na mzike ata nguo.
Aione
Jastine Faustine Mafwele.
Mto wa Mbu
State of Illinois.
SomaKupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
![]()
![]()
...![]()
- DuaZaMama
- humphrey polepole polepole atekwa
- Replies: 395
- Forum: Jukwaa la Siasa
Tanzania wanashindwa kabisa kupata 16MI au ata vi bastola mbona kuwafikia kina Mafwele na Muliro ni chapLogic ndogo tu.
Ukiona kikichomtokea PADRE KITIMA, SATIVA, DJUMBE na LISSU.
Na Kilele cha OKTOBA 29.
Hakuna NAMNA yoyote kuwa waliotekwa watakuwa HAI.
Wote waliotekwa WALISHAUAWA.
siasa ni sayansi ndugu mdau,Wakiongea wakiwa njee mnasema ni vibaraka mnataka waje front ili muamini kua ni wazalendo
Wakija hapa kama Pole Pole ooh yalikua makosa hivi mnatakaje?
Nadhani ni HATUA.Tanzania wanashindwa kabisa kupata 16MI au ata vi bastola mbona kuwafikia kina Mafwele na Muliro ni chap
Mambo haya ni magumu sana mkuu Tlaatlaahsiasa ni sayansi ndugu mdau,
na harakati ni kiki za kutafuta riziki, umaarufu au public sympathy. Mambo hayo kila moja ananufaika nayo kwa namna yake.
Na hivyo ndivyo wanaharakati hua perceived na public. Leo akisema hivi anaonekana shujaa, kesho akisema vinginevyo anaonekana lofa. Kubahatisha ukweli ndio haswa wajibu wao unaolenga kuhadaa jamii na kupata tension yao 🐒
Au sioPolepole alimezwa na zimu alilolifuga na kulipa chakula mwenyewe. Alitembea nchi nzima akinadi katiba ya warioba kuwa ni bora. Dunia ilivyokuwa njema kwako akapata nafasi ya kuwa mtu wa karibu sana kwenye maamuzi ya nchi ila akafanya ya kutukebehi hatujui vietee.
Wote wale wanafiki wa nchi hii wanastahili kufa kama Polepole tu.
Na awamu ya 07 wataendelea kutekaYanamwisho nahuu ndio utamaduni tulioachiwa na mh Jiwe
Ata MO29, kungekuwa na watu ata wa3 wenye training na bunduki na risasi za kutosha wangeua askari wengiNadhani ni HATUA.
Hata huku kwenye UTEKAJI hatukuzoea, tumefikishwa tu na watu bado wanashangaa.
Tunaelekea huko.
Tumefikia pabaya sana kama nchi.
Oktoba 29, Watu waliamua kukaa ndani kwasababu hawakuwa na silaha.Bongo wak
Ata MO29, kungekuwa na watu ata wa3 wenye training na bunduki na risasi za kutosha wangeua askari wengi