Familia ya Hamphley Polepole wekeni msiba mzike hata nguo

Familia ya Hamphley Polepole wekeni msiba mzike hata nguo

Kama walimua ni kumkosea heshima, yule alikuwa mtu mkubwa sana chamani, kumua kindezi vile ni kumkosea adabu. Mtu aliyekuwa karibu na rais wakifanya kampeni zao nchi nzima alafu aje auwawe kindezi vile inasikitisha sana. Wangemuacha tu asemeseme siri sirini wala asingeathiri kitu, watu wangeendelea na maisha yao kama kawaida
 
Inaseketeshaaa sanaa, damu za watu kumezwa na ardhii aisee. Sio jambo jepesi hata kidogo watawala na viongozi wajitafakari aisee.. Damu achana nayo kabisa ina mambo ya kujilipiza kisasi
Huwa wanaambiwa(kujazwa uongo na roho chafu)kwamba wakiua wachache(?) kwa ajili ya taifa haina shida.Wapo mtegoni na wamepumbazwa hawawezi kuhofia jambo.
 
Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.

Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence dhaifu haijapata kutokea. Pelepole ata angerudi bongo ila Kila siku akawa anatamba kuwa Yuko US au Sweden na akawa anakuja hewani Kwa masaa ya hizo nchi wasingempata.

Sasa tunajua wote kulichomkuta, Polepole alichukuliwa na polisi walioongozwa na Mafwele. Kila siku familia yake imekuwa ikitoa vitisho vya kutaka aachiliwe.

Jana nilipata very classified information, kuwa Polepole alikufa mwezi huo huo wa kumi alipotekwa. Na watu wanaojua kabisa Polepole alifukiwa wapi ni Mafwele na Muliro.

So familia ya Polepole don't waste your time kuomba sijui ndugu yenu aachiliwe. Ndugu yenu hatunae tena. Kama mna ubavu rukeni na Muliro au Mafwele mtapata classified information.

Chakufanya wekeni msiba na mzike ata nguo.

Aione
Jastine Faustine Mafwele.

Mto wa Mbu
State of Illinois.
Very sad!
 
Upo sahihi, Taarifa ya Kifo cha Polepole na Mdude nilizitoa hapa jukwaani kwa ufasaha. Aany way Damu ya Mtu haipotei Bure. Pamoja na kuranda randa na marange rover mtaani kwenye misafara, hana Amani ya moyo, anateseka sana. MUNGU YUPO NA ANAISHI, MILELE NA MILELE, AMEN.
Exactly
 
Inaumiza sana. Sijui Jomo Kenyata aliona nini mpaka kusema Watanzania ni wafu katu hawawezi kuja kudai haki zao? Kweli wahenga wana macho ya rohoni.

Tofautisha hayo mambo ya akina Pole Pole,Mdude,mzee Kibao kutobolewa macho. Ya Lissu kuwekwa ndani kesi hamna. Vitu vya wazi kabisa nchi kuinuka na kudai maelezo ya kuna. Lakini waza itokee picha kama hiyo Kenya. Moto wake
 
Kupost post mitandaoni na upo ndani ya nchi na unatafutwa na Dola ni moja ya Makosa makubwa sana.
Tena ukijua unapambana na Namba moja.

Kosa jingine ni kurekodi ile video akiwa sijui Victoria pale Makumbusho. Akisema hapa niwapi.
Eneo lile makamera yamejaa kila kona.
Usitake kuniambia hakuwa amepanda gari wakari anaondoka.

Kuwataja taja baadhi ya watu ni kuhatarisha usalama wa unaowataja na usalama wake mwenyewe
Hiki kitu kilinishangaza sana kwa kweli. Nafikiri alikuwa kundi zito nyuma yake, na dakika walimuhakikishia kupindua meza.
 
U
Kama walimua ni kumkosea heshima, yule alikuwa mtu mkubwa sana chamani, kumua kindezi vile ni kumkosea adabu. Mtu aliyekuwa karibu na rais wakifanya kampeni zao nchi nzima alafu aje auwawe kindezi vile inasikitisha sana. Wangemuacha tu asemeseme siri sirini wala asingeathiri kitu, watu wangeendelea na maisha yao kama kawaida
Unadhani walimuacha??
 
Ndio hivyo inavyokua we unafikiriaje? Ungekua wewe kwa mfano ungefanyaje? Jibu lako: ningekua mimi ningeenda kujibanza mbali kabisa huko nisionekane tena

Sio Victoria pale ni kwenye Mnara wa Askari Monument ipo kwenye makutano ya Samora na Azikiwe, maeneo ya Posta pembeni ya Salamander Tower


Fikiria sasa mjini kabisa.
Makamera ya wazi na siri yamejaa kila kona. Jamaa anajirekodi na kupost mtandaoni. Aiseeh
 
Back
Top Bottom