Familia ya Hamphley Polepole wekeni msiba mzike hata nguo

Familia ya Hamphley Polepole wekeni msiba mzike hata nguo

Oktoba 29, Watu waliamua kukaa ndani kwasababu hawakuwa na silaha.

Nchi hii ikontoo vulnerable.

Akitokea Mhuni akaanza ku-train watu na kuwapa pesa, asubuhi tu kwisha kazi.
Kwisha kazi kwamba nchi itatulia?
 
Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.

Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence dhaifu haijapata kutokea. Pelepole ata angerudi bongo ila Kila siku akawa anatamba kuwa Yuko US au Sweden na akawa anakuja hewani Kwa masaa ya hizo nchi wasingempata.

Sasa tunajua wote kulichomkuta, Polepole alichukuliwa na polisi walioongozwa na Mafwele. Kila siku familia yake imekuwa ikitoa vitisho vya kutaka aachiliwe.

Jana nilipata very classified information, kuwa Polepole alikufa mwezi huo huo wa kumi alipotekwa. Na watu wanaojua kabisa Polepole alifukiwa wapi ni Mafwele na Muliro.

So familia ya Polepole don't waste your time kuomba sijui ndugu yenu aachiliwe. Ndugu yenu hatunae tena. Kama mna ubavu rukeni na Muliro au Mafwele mtapata classified information.

Chakufanya wekeni msiba na mzike ata nguo.

Aione
Jastine Faustine Mafwele.

Mto wa Mbu
State of Illinois.

Soma

He was desperately trying to save his party — a political party that let him die 😢

The good you tried to do will be remembered by generations to come. You showed all of us that we can and should aspire to have a more honest, respectful, and effective government.

May you rest in eternal peace 💐

Mungu alietuumba sisi wote yupo.
 
Kwa intel alizotoa nilijua tu wanaua na hata familia wanajua, wanachopambania ni kupata haki yao na mwili wake.

Iliniuma sana nilipogundua yuko Bongo kipindi kile chote.

Mpinzani wa mfumo anapitia haya mambo, sio hizo sinema zetu za akina Emmanuel Nchimbi
 
He was desperately trying to save his party — a political party that let him die 😢

The good you tried to do will be remembered by generations to come. You showed all of us that we can and should aspire to have a more honest, respectful, and effective government.

May you rest in eternal peace 💐

Mungu alietuumba sisi wote yupo.
Nam
 
Back
Top Bottom