Familia ya Hamphley Polepole wekeni msiba mzike hata nguo

Kama walimua ni kumkosea heshima, yule alikuwa mtu mkubwa sana chamani, kumua kindezi vile ni kumkosea adabu. Mtu aliyekuwa karibu na rais wakifanya kampeni zao nchi nzima alafu aje auwawe kindezi vile inasikitisha sana. Wangemuacha tu asemeseme siri sirini wala asingeathiri kitu, watu wangeendelea na maisha yao kama kawaida
 
Inaseketeshaaa sanaa, damu za watu kumezwa na ardhii aisee. Sio jambo jepesi hata kidogo watawala na viongozi wajitafakari aisee.. Damu achana nayo kabisa ina mambo ya kujilipiza kisasi
Huwa wanaambiwa(kujazwa uongo na roho chafu)kwamba wakiua wachache(?) kwa ajili ya taifa haina shida.Wapo mtegoni na wamepumbazwa hawawezi kuhofia jambo.
 
Very sad!
 
Exactly
 
Inaumiza sana. Sijui Jomo Kenyata aliona nini mpaka kusema Watanzania ni wafu katu hawawezi kuja kudai haki zao? Kweli wahenga wana macho ya rohoni.

Tofautisha hayo mambo ya akina Pole Pole,Mdude,mzee Kibao kutobolewa macho. Ya Lissu kuwekwa ndani kesi hamna. Vitu vya wazi kabisa nchi kuinuka na kudai maelezo ya kuna. Lakini waza itokee picha kama hiyo Kenya. Moto wake
 
Hiki kitu kilinishangaza sana kwa kweli. Nafikiri alikuwa kundi zito nyuma yake, na dakika walimuhakikishia kupindua meza.
 
U
Unadhani walimuacha??
 


Fikiria sasa mjini kabisa.
Makamera ya wazi na siri yamejaa kila kona. Jamaa anajirekodi na kupost mtandaoni. Aiseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…