Ninaamini walishafanya hivyo maana mwaka huu January 6 , ikiwa ni miezi 3 tangu atekwe waliamu kwenda kuondoa vitu kwenye ile nyumba na hata zile damu ndio siku ile walizisafisha pale sakafuni maana tangu tukio litokee nyumba ile waliiacha vile vile .
Ni wazi sasa familia inaelewa ndugu yao hayupo hai tena japo naona wapo kwenye denial , ila ukikaa chini na kufanya tafakuri tunduizi utagundua vitu kadhaa.
Tarehe 15 September 2025 , policcm walimpa wito afike ofisi za DCI ,
Tarehe 16 yule mbilikimo mwenyekiti wa UVCCM akatweet hii tweet " washamvunja" kwa lugha ya nadharia kuvunja inaweza kutafsiriwa kama code ya kumuacha mtu wazi pale alipokua amejificha yaani maaana yake sasa waliconfirm Polepole yupo Tanzania sasa kilichofuata ilikua ni kujua yupo wapi , watamfikiaje kupitia watu gani ambao wako karibu yake na kweli siku 20 mbele walifanikiwa kumfikia na kumuua.
Hapa kuna wahusika wengi naamini hata miongoni mwao wakiwemo wanafamilia na wale wazee aliokua anawataja na kuwaamini ndio waliomuuza.
View: https://x.com/i/status/1967725087253254392
Pia policcm wasivyo na akili , hata bila kushtuka kwamba sasa watu watajua baada ya yale maandamano wakatoa list ya watu wanaowasaka huku majina ya Polepole au Tesha yakiwa hayamo kwenye list .
Hii inatupa picha 100% Polepole walishajua wamempata na hakuwa tena mtu wanayemhitaji , namba moja akabaki Gwajima na viongozi wengine wa CHADEMA ambao nao walikuwepo Tanzania.
Hivyo kwa ufupi tu policcm hawawezi kutoa wito kwa mtu kufika ofisi ya DCI kama wanajua haupo Tanzania ndio maana katika list ile hakuwemo Mange Kimambi, Maria Sarungi , Sativa na Tesha ambae ile audio ya Mafwele anasikika akisema amekimbia nchi.
Polepole alifanya press ana mchango mkubwa sana katika yale maandamano maana baada ya CHADEMA kufungiwa katika mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION , yeye ndio alibaki na Gwajima kwa mbali kutoa madudu ya Samuya na genge lake ila kichekesho ni kwamba katika kile kipeperushi cha Samuya alichopewa na Chande hatukuaikia Polepole katajwa popote hivyo hii nayo inanipa jibu kuwa walishamuua tangu siku zile zile.
Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.
Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence dhaifu haijapata kutokea. Pelepole ata angerudi bongo ila Kila siku akawa anatamba kuwa Yuko US au Sweden na akawa anakuja hewani Kwa masaa ya hizo nchi wasingempata.
Sasa tunajua wote kulichomkuta, Polepole alichukuliwa na polisi walioongozwa na Mafwele. Kila siku familia yake imekuwa ikitoa vitisho vya kutaka aachiliwe.
Jana nilipata very classified information, kuwa Polepole alikufa mwezi huo huo wa kumi alipotekwa. Na watu wanaojua kabisa Polepole alifukiwa wapi ni Mafwele na Muliro.
So familia ya Polepole don't waste your time kuomba sijui ndugu yenu aachiliwe. Ndugu yenu hatunae tena. Kama mna ubavu rukeni na Muliro au Mafwele mtapata classified information.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
siasa ni sayansi ndugu mdau,
na harakati ni kiki za kutafuta riziki, umaarufu au public sympathy. Mambo hayo kila moja ananufaika nayo kwa namna yake.
Na hivyo ndivyo wanaharakati hua perceived na public. Leo akisema hivi anaonekana shujaa, kesho akisema vinginevyo anaonekana lofa. Kubahatisha ukweli ndio haswa wajibu wao unaolenga kuhadaa jamii na kupata tension yao 🐒
siasa ni sayansi ndugu mdau,
na harakati ni kiki za kutafuta riziki, umaarufu au public sympathy. Mambo hayo kila moja ananufaika nayo kwa namna yake.
Na hivyo ndivyo wanaharakati hua perceived na public. Leo akisema hivi anaonekana shujaa, kesho akisema vinginevyo anaonekana lofa. Kubahatisha ukweli ndio haswa wajibu wao unaolenga kuhadaa jamii na kupata tension yao 🐒
Polepole naye alitakiwa apige zile spana akiwa exile, YEYE hangekuwa mtanzania wa kwanza kupewa ukimbizi wa kisiasa nje...ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu.
Ikiwa tu hata enzi za Nyerere watu walilazimika kwenda exile sembuse leo.
Huwa nasimulia kumbe hata marehemu Reginald Mengi naye aliwahi kulaza nyasi enzi za Nyerere.
Tundu Lissu mwenyewe aliwahi kwenda exile mara 2, awamu za mkapa na baadae magufuli.
Yupo Askofu mmoja wa kilokoke wa kule mwanza, anaitwa Bishop Mpemba, yupo exile marekani hadi leo toka awamu ya kikwete.
Gwajima aliwahi kumuombea msamaha kwa Magufuli, Magufuli akakausha.
Polepole alimezwa na zimu alilolifuga na kulipa chakula mwenyewe. Alitembea nchi nzima akinadi katiba ya warioba kuwa ni bora. Dunia ilivyokuwa njema kwako akapata nafasi ya kuwa mtu wa karibu sana kwenye maamuzi ya nchi ila akafanya ya kutukebehi hatujui vietee.
Wote wale wanafiki wa nchi hii wanastahili kufa kama Polepole tu.
Polepole alimezwa na zimu alilolifuga na kulipa chakula mwenyewe. Alitembea nchi nzima akinadi katiba ya warioba kuwa ni bora. Dunia ilivyokuwa njema kwako akapata nafasi ya kuwa mtu wa karibu sana kwenye maamuzi ya nchi ila akafanya ya kutukebehi hatujui vietee.
Wote wale wanafiki wa nchi hii wanastahili kufa kama Polepole tu.