Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

Wote kuna wakati huwa tunapita kushoto, life has a lot of challenges hivyo njia 'mbadala' huwa zinatafutwa and that's how we combat obstacles.
 
Hayati anawatesa sana!
Na kwa taarifa yenu kadri mnavyotaka kumchafua, ndo hata wale ambao walikuwa hawampendi, wanaanza kumpenda!
Nafikiri hii nguvu inayotumika kumchafua Hayati, ingetumika kurahisisha maisha ya Watanzania wanyonge, ingependeza sana
Tuliomchukia ndiyo tunazidi kumchukia kadri maovu yake yanavyozidi kuibuliwa, acha kutuwakilisha tuliomchukia wakati bado tupo.
 
Walinda legacy mko wapi? Mnapopolewa huku
 
Hayati anawatesa sana!
Na kwa taarifa yenu kadri mnavyotaka kumchafua, ndo hata wale ambao walikuwa hawampendi, wanaanza kumpenda!
Nafikiri hii nguvu inayotumika kumchafua Hayati, ingetumika kurahisisha maisha ya Watanzania wanyonge, ingependeza sana
Unamchafuaje mtu mchafu? Sana sana atakuchafua wewe. Magufuli ni fisadi kabla hata hajakuwa Rais. Kumbuka uuzaji wa nyumba za serikali na ununuzi wa kivuko cha Bagamoyo.
 
Watanzania na wale washabiki wa Simba waunge mkono Kwa nguvu zote watu wote walioporwa pesa zao Hali na yule Nyang'au na washirika wake watendewe haki.
Pia Biswalo , Kabudi na waziri wa fedha wakati huo walio shiriki kuiba na kuhamisha pesa hizo kwenda China wawajibishwe na Sheria zetu zilizopo.
Ni aibu Rais wetu anatangatanga Dunia nzima na mashirika ya kimataifa kutafuta pesa za shughuli za umma halafu Kuna watu wanahamisha zingine bila hofu
 
Hii inatonesha vidonda bora mngekaa kimya, hata Askofu Shao kampongeza Mama na kumwambia mbowe siasa za ustaarabu. Habspoppe wawili mtu na mdogo wake mmoja Captain mwingine Luteni walipanga kumuua Nyerere 1983 wakahukumiwa na Mahakama kufungwa maisha, wakajatoka kwa msamaha wa Rais Mwinyi. Hatujasahau msitukumbushe. Na wewe msemaji hujui kuwa doka laki 3 ni nyingi kuliko mabilioni ya shilingi unazidi kuleta kichefuchefu kutetea wahaini.
 
Sky si Murdoch,au kishauza!?
Achana na GOOGLE, kwa sababu wakati mwingine unaweza kukutana na JINA LA MTU ambaye hatambuliki hata OFISINI, lakini limeandikwa GOOGLE.

Tangu mwaka 1990, SKY SPORT inamilikiwa na FAMILIA YA KIDUDUYE - yule aliyehamisha milioni mia tatu [300,000,000] mwaka 1996 kutoka kwenye mfuko wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA TABORA yaani WETCU na kuweka kwenye AKAUNTI BINAFSI.
 
Tangu mwaka 1990, SKY SPORT inamilikiwa na FAMILIA YA KIDUDUYE, yule aliyehamisha milioni mia tatu [300,000,000] mwaka 1996 kutoka kwenye mfuko wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA TABORA yaani WETCU na kuweka kwenye AKAUNTI BINAFSI.
Mi najua sky news,sky sports na sky zote ni za Rupert Murdoch tangu na tangu mzee,get your facts right,sky ndiyo wanaonunua na kuuza haki za kurusha EPL, UEFA nk
 
Tunapodai utawala Bora kuna wakati watu wa juu wanadhani wao hayawahusu. Kuna wakati yatakukuta tu
 
Uko deep sana mkuu nakuogopa
 
Mi najua sky news,sky sports na sky zote ni za Rupert Murdoch tangu na tangu mzee,get your facts right,sky ndiyo wanaonunua na kuuza haki za kurusha EPL, UEFA nk
Ndio hizo hizo.. 😂😂😂!! Jaribu kukaa na WATU WAZIMA kidogo wakwambie milioni mia tatu [300,000,000] ya mwaka 1996 ilikuwa inafanana vipi?

Kipindi hicho cha miaka ya tisini na sita [1996's] ulikuwa unapata NYUMBA mitaa ya KARIAKOO kwa SHILINGI LAKI SABA [700,000].

Sasa thamani ya shilingi milioni mia tatu [300,000,000] ilikuaje? Ilikuwa ni pesa nyingi sana kwa kipindi hicho 🙏🏽
 
1996 nilikua sekondari, potential ya kkoo kipindi hicho haikua sawa na Sasa, mshahara wa mtumishi ulikua elf60 afisa wilayani,Dola moja ya marekani 1995 ilikua sawa na tsh 570,siyo hela ya maana hiyo 300m ya tz kwa ulaya,sky ilikua ya Murdoch na 2018 nimeona ilinunuliwa na Comcast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…