Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Baada ya miaka mitatu mange na kigogo wamegeuka wachochezi,wakosa adabu kwa Rais. Kutoka kuitwa mashujaa wa taifa karma karma na bado

R.I.P JPM

Hadi wanafungia kwenye mitandao ya kijamii
 
Baada ya miaka mitatu mange na kigogo wamegeuka wachochezi,wakosa adabu kwa Rais. Kutoka kuitwa mashujaa wa taifa karma karma na bado

R.I.P JPM
 
Unajua hata wakati wa Mobutu, na Idi Amin, watu walishinda uchaguzi
Hata wakati wa, Mobutu na Idi Amin, watu walishinda uchaguzi! Na misifa kibao kwa rais,
Maghu alikuwa mwizi, tu kama wezi wengine wa ccm,
 
Unajua hata wakati wa Mobutu, na Idi Amin, watu walishinda uchaguzi

Hata wakati wa, Mobutu na Idi Amin, watu walishinda uchaguzi! Na misifa kibao kwa rais,
Maghu alikuwa mwizi, tu kama wezi wengine wa ccm,

Muda utakujibu
 
Unajua hata wakati wa Mobutu, na Idi Amin, watu walishinda uchaguzi

Hata wakati wa, Mobutu na Idi Amin, watu walishinda uchaguzi! Na misifa kibao kwa rais,
Maghu alikuwa mwizi, tu kama wezi wengine wa ccm,
Yule alikuwa anawaza kuua pekee
 
Walitaka aachwe na alikuwa anahujumu ulinzi wa usalama wa nchi na mipaka yake ??? Alikuwa na Nia ovu ya kuidhooofisha nchi kiulinzi na utendaji Kivita Huku machoni kwa watu akifunika na kufanya miradi ya haha na pale ..

Amiri jeshi gani miaka yake alisitisha ajira majeshini ?? na hata akitoa zilikua Chache sana tena kwa kulenga kuingiza watu Fulani Fulani …..

Hata Vijana alioaaahidi ajira akashindwa kuwapa…

MIAKA yake yote hakuwezesha jeshi kwa silaha wala mafunzo [ mafunzo ya nje ndio kabisaaa] , waliostaafu na kufariki hapakuwa na wa kufidia nafasi zao [ career gap ] …

ALIANZA Mkakati haramu ambao Mwisho ulikuwa Mpango haramu wa himaya ya hima kujipanua kuja hadi GEITA kwa jina la MKOA Mpya ya Chato ambao waliudai hadi msibani [ Baada ya kustukiwa Nia ovu hiyo umemsikia Nani anadai tena MKOA wa Chato?? ] ule baadaye ungedai kujitenga na kuwa sehemu ya nchi jirani Kama wanavyopata shida Goma Leo…



Sio Ajabu kuugua bila uwepo wa mke au ndugu …kwasababu alikuwa captive wa state ….treason against the sorveregnity of the state .
 
Sukuma gang zimeanza kulia baada ya kuachwa kwenye mfumo
 
Hakuna mtu ambae sio mwizi ccm na in fact wizi ni sifa ya Mtanzania na anaeiba Huwa anaonekana mjanja na kutetewa 🀣🀣

Ila wajinga wanaoitwa wanyonge hawawezi elewa hili.
 
Mkuu kwa wenzio muda ulisha jibu!
 
Waongo na wanafiki hasa kutokea chadema....
Jaribu kutumia akili hata kidogo.
Kuna wanafiki zaidi ya CCM?
Chadema wako against ccm sio magufuli....
Ndege hasara
Bwawa hasara
Kila kitu hasara...
🀝
 
Ficha upumbavu wako. Lengai yuko nje baada ya kukiri makosa yake kwa DPP na sio kwamba alishinda kesi. Tunafurahia mazuri ya JPM lakini haiondoi pia ukweli alikuwa na mabaya mengi ikiwamo kuwakumbatia majambazi kama Sabaya.
Yani kwa akili za waafrika FUTA kabisa kichwani mwako eti mbembelezane alafu mpate maendeleo kuna li taasisi lilikuwa linajiendesha kwa hasara mno akaletwa ngozi nyeupe mmoja tu kuwa msimamizi mbona palinyooka.

Sitakuja kukubaliana na slogan za jina lako hasa kwa kuwaongoza waafrika japo sisemi aliyoyafanya yule mzee ni mazuri ila ukitaka kwenda na mwafrika vile ndiyo inatakiwa siyo kuleana leana.
 
πŸ“πŸ”ŠπŸ†’πŸ’πŸ₯‚πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ™β³
 
Mkuu, mchele huo!
 
Miaka mitatu???
Miaka mitatu tumepata maridhiano,
Miaka mitatu hajatekwa mtu,
Miaka mitatu maslahi ya wafanyakazi yameboreshwa,
Miaka mitatu tumepata tume huru ya uchaguzi.
Miaka mitatu viongozi wababewajinga wamerekebishwa.
Miaka mitatu jeshi halishurutishwi kuingilia mambo hovyo,
Miaka mitatu hakuna mpinzani aliyefungwa,
Miaka mitatu makusanyo yakodi yamepanda bila maguvu,
Miaka mitatu apinzani wameandamana kwa amani.,
Miaka mitatu elimu Bure Hadi six,
Miaka mitatu ruzuku Kwa wakulima imerudi,
Miaka mitatu vyuma havikazik,
Miaka mitatu spwika ropox2 kapigwa chini,
Miaka mitatu ma ded na ma DC hawatukanwi Pumbafu hovuo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…