Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

watuambie pia, legacy yake ya kujenga uwanja wa chato kwa bilioni 40 nayo wanaacha muda ujibu? watu waliopotea na hakuna upelelezi wa kuridhisha, vijana wa hovyo kama bashite na wengine kupewa madaraka, uporaji pesa bureau de change na mengine mengi. hayo tunajua hadi Yesu arudi wataendelea kusubiri muda ujibu.
 
👏👏👍
 
Aliandikiwa cha kusema
 
Hiyo familia bora wameamua wanyamaze maana yaliyofanyika yalikuwa ya kutisha nashangaa wapambe ndio mpo kifua mbele.

Familia za kina Ben Saanane na Azory Gwanda nazo naona ziliamua kukaa kimya maana wanayo mengi ya kuongea.
 
Nonsense
 
Hiyo familia ni matajiri wakubwa na wengine wana vitengo vikubwa serikalini, kama vipi wawe wanatumwagia maji machafu wakipita na magari yao,.... Hatukomi kumnanga Baba yao huku mtandaoni nadhani hata na wao wanaelewa sababu ya sisi kufanya hivi.........
 
slaggish
 
Ficha upumbavu wako. Lengai yuko nje baada ya kukiri makosa yake kwa DPP na sio kwamba alishinda kesi. Tunafurahia mazuri ya JPM lakini haiondoi pia ukweli alikuwa na mabaya mengi ikiwamo kuwakumbatia majambazi kama Sabaya.
alikua muuaji
 
Schizophrenia
Wahi hospital Mirembe
 
Hii familia ni ya kipumbavu kabisa. Ina maana wameanua kumuuza ndugu yao kwa mafisi ya CCM yaliyomuua bila huruma? Waache use.nge waombe uchunguzi huru ufanyike kuhusu kifo cha mpendwa wao.
 
Duh, siamini kabisa kuwa utumbo huo ni kutoka ukoo wa Magufuli.

Too low.
 

Muda unawajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…