GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.

Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.

Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.

Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza.
 
Katika jumbo la Chalinze anakogombea Ridhiwani Kikwete hakuna hats mwana CCM mmoja aliyejitokeza kuchukua fomu na hivyo anapita bila kupingwa CCM, na pengine pia wagombea wa upinzani wakaenguliwa wrote akapita tena bila kupingwa kwa wananchi

Huko Mchinga pia Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais huyo mstaafu amepita pia bila mpinzani CCM

Hii inaonyesha wanavyokubalika ndani ya CCM
 
Sawa
 
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.

Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.

Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.

Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza.
Nami nawapongeza sana!!
 
Nchi imegeuzwa uongozi wa kifamilia!, utawala wa kifalme!, akitoka baba arithi mtoto?, mama, mjukuu n.k

Hivi mnatuonaje watanganyika?!

Hata kama sisi sio wajinga kihivyo...hili linawezekanaje?! Ni kwa bahati mbaya?!

Hawa hawajawekwa kwa bahati mbaya! Tunapoelekea ni giza nene

Familia inaenda kutawala hii nchi milele!

Kwa hili hata mpumbavu anaelewa ni nini kiko nyuma ya pazia!

Mene mene tekeri na peresi, MUNGU ATAJIBU MAOMBI!
 
Back
Top Bottom