mkoa wa lindi mkuumchinga ipo wapi?
Sidhani kama tuna usalama wa taifa kwenye hii nchi, tuendako ni giza nene!!Halafu utasikia wanakwambia kuna usalama wa taifa
Asante sana mkuu kwa kutupatia uhalisia wa karma inavyofanya kazi.Ktk suala la ubunge au uongozi wowote huwa ni karma aliyopewa mtu na mwenyezi Mungu,Hata kama ukiwa mke au mtoto wa rais kama huna karma hata usaidiwe vipi huwezi kutoboa.
kwa hiyo familia ya kikwete wana karma za uongozi ndio maana unawaona leo.nikuhakikishie hawakupitishwa kwa influence za rais mstaafu.
hongera zao
hivi wanaendaga huko kweli au ni dar dom tu😁😁mkoa wa lindi mkuu
Na wewe unatuona sisi kama matako??Ktk suala la ubunge au uongozi wowote huwa ni karma aliyopewa mtu na mwenyezi Mungu,Hata kama ukiwa mke au mtoto wa rais kama huna karma hata usaidiwe vipi huwezi kutoboa.
kwa hiyo familia ya kikwete wana karma za uongozi ndio maana unawaona leo.nikuhakikishie hawakupitishwa kwa influence za rais mstaafu.
hongera zao
CCM ni yao nchi ni yao wacha wale mema.Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza.
Acha kumsingizia Mungu kwa mambo ya kipuuziKtk suala la ubunge au uongozi wowote huwa ni karma aliyopewa mtu na mwenyezi Mungu,Hata kama ukiwa mke au mtoto wa rais kama huna karma hata usaidiwe vipi huwezi kutoboa.
kwa hiyo familia ya kikwete wana karma za uongozi ndio maana unawaona leo.nikuhakikishie hawakupitishwa kwa influence za rais mstaafu.
hongera zao
CCM ni yao nchi ni yao wacha wale mema.Nchi imegeuzwa uongozi wa kifamilia!, utawala wa kifalme!, akitoka baba arithi mtoto?, mama, mjukuu n.k
Hivi mnatuonaje watanganyika?!
Hata kama sisi sio wajinga kihivyo...hili linawezekanaje?! Ni kwa bahati mbaya?!
Hawa hawajawekwa kwa bahati mbaya! Tunapoelekea ni giza nene
Familia inaenda kutawala hii nchi milele!
Kwa hili hata mpumbavu anaelewa ni nini kiko nyuma ya pazia!
Mene mene tekeri na peresi, MUNGU ATAJIBU MAOMBI!
Wanatuona kama Matako yao.Hii nchi walishatufanya wapumbavu sana
Watanzania ndo waoga hamna alio katazwa kuchukua form ya kugombea.....Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza.
Sidhani kama tuna usalama wa taifa kwenye hii nchi, tuendako ni giza nene!!
Haiwezekani hata mtu mmoja asijitokeze kuchukua form tena kwa jimbo kama la chalinze, kilichofanyika kinajulikanaKtk suala la ubunge au uongozi wowote huwa ni karma aliyopewa mtu na mwenyezi Mungu,Hata kama ukiwa mke au mtoto wa rais kama huna karma hata usaidiwe vipi huwezi kutoboa.
kwa hiyo familia ya kikwete wana karma za uongozi ndio maana unawaona leo.nikuhakikishie hawakupitishwa kwa influence za rais mstaafu.
hongera zao