GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna Cha nyota hapa! Ni ujinga,upumbavu na kutojielewa kwa watanzania. Kenya huu ushenzi usingekuwepo!
 
nyerere alikuwa mbinafsi alishindwa nini kubadili katiba, halaf ni msra 100 angewarithisha urais watoto wake kina makongoro
 
Ndio mana Nyerere alisita sana kumpa nchi huyu mpuuzi Kikwete.
Haya Watanzania hawa majamaa sasa wanatupanda hadi vichwani vile wao wanataka..tutabaki kua maboya mpaka lini?Tujiulize
 
kikwete kiboko yake lisu tu ndomana anahakikisha kwanza akae lupango baadae atasema atoke
 
Hili jambo ni baya sana kwa familia ya Dkt Kikwete. Tuombe Mungu mambo yasibadilike yaendelee kuwa hivi hivi ila siku yakibadilika ni vilio. Ningekuwa mimi basi ningetafuta hata wamchongo ili kuepuka kujionesha nina nguvu chamani
Mambo ya aibu sana, yaani inakuwa too much mpaka inakua harmful sasa
 
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.

Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.

Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.
Hawa kweli wanastahili pongezi.
 
Anachokifanya kikwete natamani hata nijitokeze kwenye vyombo vya habari nikemee front kabisa sema naogopa kufa 🏃‍♀️ 🏃‍♂️
 
Unamaanisha chadema hii ambayo inawapiga inawapiga wanyonge tone tone Kisha kutunzia Malaya huko ubelgiji?!!!!! Huwezi kuwa serious mkuu.
We endelea kupambana na Chadema wenye nchi yao wanaendelea kula nchi
 
Tukiweka ushabiki pembeni yule Salma Kikwete kweli anaoneka amedhamiria kweli kuwapambania wananchi jimboni kwake kweli... kwa ule mwonekano na ninavomjua yule mama hamna kitu.
 
Anachokifanya kikwete natamani hata nijitokeze kwenye vyombo vya habari nikemee front kabisa sema naogopa kufa 🏃‍♀️ 🏃‍♂️
Pumbavu mkubwa wewe
Tafuta chimbo ulambe asali acha wivu
 
Back
Top Bottom