SawaKatika jumbo la Chalinze anakogombea Ridhiwani Kikwete hakuna hats mwana CCM mmoja aliyejitokeza kuchukua fomu na hivyo anapita bila kupingwa CCM, na pengine pia wagombea wa upinzani wakaenguliwa wrote akapita tena bila kupingwa kwa wananchi
Huko Mchinga pia Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais huyo mstaafu amepita pia bila mpinzani CCM
Hii inaonyesha wanavyokubalika ndani ya CCM
Nami nawapongeza sana!!Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza.
Ndio maana tunaimba No reform no electionGT
Habari ndo hiyo mama na.mwana hawana mpinzani kudadadeki. Royal family.
SawaGT
Habari ndo hiyo mama na.mwana hawana mpinzani kudadadeki. Royal family.
ππππNo way out