Familia ya Lissu na Lema hadi leo wamefichwa Ulaya!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Hata baada ya yule "Herode" aliyewatishia katika Nchi ya ahadi kufa, Bado familia hizi zimefichwa Ubelgiji na Canada.

Na mara nyingi, kukitokea Hali ya hewa isiyo nzuri nchini, mabwana Hawa, haraka sana hukimbilia huko ugaibuni.

Itakumbukwa hata wakati wa maandamano ya CHADEMA mwaka Jana, Lissu huyu huyu alikimbilia Ubelgiji kwa kisingizio Cha matibabu.

Ndio kusema kwa Sasa wako mguu mmoja ndani na mwingine nje
 
Uzi tayari.
 
Lissu hataweza kuwaunganisha wanachama. Pia mguu mmoja ndani mngine tayari nje
 
Back
Top Bottom