Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

Kumbe Harry ni mtoto wa marehemu Diana.

Ahhh mama yake alizikwa eneo makaburi wanakozikwa mbwa wa wafalme na Malkia wa uingereza
 
Dogo kaingiwa Mtima nyongo kitambo tu na Familia ya kifalme,Kuna matukio makubwa tu sema yanafichwa,Ukiacha kuwa wao ndiyo Wamemuua bi Mkubwa wake,Nani kama Mama?Dogo kawapa Shit.
 
YaliyompatA Mama mkwe yaweza mpata mkwe any3time
 
Dogo kaingiwa Mtima nyongo kitambo tu na Familia ya kifalme,Kuna matukio makubwa tu sema yanafichwa,Ukiacha kuwa wao ndiyo Wamemuua bi Mkubwa wake,Nani kama Mama?Dogo kawapa Shit.
Dogo kaona hana nafasi ya kuwa mfalme hivyo kabinti ka kimarekani kamemchochea! Maana ukiangalia ile lineage ya ufalme yuko nje kabisa! Sasa hivi anayefuata ni baba yao Prince Charles, anafuta Prince Bill, anafuata Prince George na wadogo zake! Anapigwa gap mpaka na kale kabinti ka Prince Bill, Charlotte! Hivyo atembee tu!
 
Prince Bill* prince William

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna aliyeniambia ni vipi hicho kiti kikaliwe na koo moja tu?
Queen wa uingereza haongozi serikali....yeye yupo kiutamaduni zaidi... Na waingereza wanarespect culture yao...Tangu kuanza kwa taifa la uingereza mambo yapo hivyo ni kwa familia teule tu.... And to avoid the so called dictatorship, the queen or king is the head of state and not the government... Hivyo hakuna dictatorship yoyote hapo.
 
Queen na predecessors wake na kizazi chao wanakula dhambi ya kutawala, kunyonya na kuiba maliasili na rasilimali za binadamu wenzao, hawana maana hata kidogo, wache wafarakane mpaka waishie huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…