Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

Sasa hapo kuna msukosuko upi mkuu? Unaujua msukosuko ww.... Kwanza una kitambulisho cha uraia ww?

Sent using tofali la kuchoma
 
Waingereza wanaendeshwa na mfumo wa constitutional monarchy... Where the monarch takes little direct part in the government.... The legislative power is exercised by the Queen but the executive is exercised by the Queen's government (ministers, prime minister etc).. Zamani her Majesty alikuwa na uwezo wa kumuondoa prime minister katika nafasi yake lakini kwa sasa kinachoweza kumuondoa prime minister ni election, kifo au resignation... However the Queen can appoint the prime minister wherever necessary..Na pia Queen or King ni mkuu wa majeshi kama rais huku kwetu.... Kama kuna nilipokosea nipo radhi kurekebishwa.
Hilo swali lako la pili sijalielewa interest zigongane vipi sababu bunge ni moja,katiba ni moja,serikali ileile zitagongana kivipi labda ufafanue zaidi.
Wanakudanganya hao, Queen ana powers kubwa tu huko uingereza, hata serikali ya uingereza huwa inaitwa her majesty's governnent, hata jeshi la maji linaitwa royal navy. Queen ana uwezo wa kukataa waziri mkuu asiunde serikali.
Queen akiamua kukunjua makucha yake ana powers kubwa sana
 
Hawa nao na mambo ya kifalme ujinga tu,ingekuwa africa kila siku wangekuwa wanaponda........
 
Wanakudanganya hao, Queen ana powers kubwa tu huko uingereza, hata serikali ya uingereza huwa inaitwa her majesty's governnent, hata jeshi la maji linaitwa royal navy. Queen ana uwezo wa kukataa waziri mkuu asiunde serikali.
Queen akiamua kukunjua makucha yake ana powers kubwa sana
Ndiye mkuu wa majeshi... Hivyo hayo mambo ya army,navy and air force yapo chini yake.
Her majesty ana power zaidi parliamentary na si executive.Ana nguvu kubwa sawa lakini si kama zamani.
 
Ndiye mkuu wa majeshi... Hivyo hayo mambo ya army,navy and air force yapo chini yake.
Her majesty ana power zaidi parliamentary na si executive.Ana nguvu kubwa sawa lakini si kama zamani.

haijalishi kama hizo power zimepungua kulingana na ilivyokuwa karne zilizopita. lakini wale wanaodai kuwa Queen yupo pale ceremonial tu wanadanganywa au wanajidanganya.
Queen powers anazo!
 
Harry siyo damu ya kifalme ile, Ka Diana kalikuwa kanachepuka sana mwishoni mwishoni huku, alikuwa anajirusha na mtunza farasi mwanajeshi, jina nimesahau kidogo anikumbushe anayejua

Bwana Chaaz km kawaida yao yeye alimng'ang'ania Cammila Paka, walikwa wanakulana sana,kimwendelezo. Diana ikamuuma akaipeleka kwa rijamaa!

Huenda pia ni shinikizo la Malkia kuweka pembeni DNA za kijana haramu! Konyo lile la Harry haliendani na wenzake wa kifalme!

Diana kalikuwa kana ongea sana B/ palace kuliko C/.Paka. ilikuwa inamtia kinyaa sana jamaa! basi akawa ana shinda kwake kuliko Diana.

Mara kimimba cha Harry hichooo! si kampa P. chaaz!
Unavyoelezea mbavu Sina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibibi kina 95 years old lakini kipo fiti utadhani kina miaka 66
 
Waingereza uswahili mwiingi.

Kwanini waishi bila uhuru huku wakipigwa majungu kila siku na media eti kwa kuwa wanaishi kwa kodi za Waingereza wakati wanaweza kutafuta peza zao wenyewe ?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom