Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,580
Kifupi cha William ni Bill
Robert ni Bob
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifupi cha William ni Bill
Tusaidie tu swali letu hili, kipi kikubwa/kinamvaa/kinamuongoza/kinamuumba mwenzie kati ya STATE and GOVERNMENT? Nadhani hatu tu utamwelewa uliyemjibu juu.Queen wa uingereza haongozi serikali....yeye yupo kiutamaduni zaidi... Na waingereza wanarespect culture yao...Tangu kuanza kwa taifa la uingereza mambo yapo hivyo ni kwa familia teule tu.... And to avoid the so called dictatorship, the queen or king is the head of state and not the government... Hivyo hakuna dictatorship yoyote hapo.
Ok mkuuNdiyo ufupisho wa jina lake, hiyo inatumiwa sana na Wamarekani!
Ukioa au kuolewa nje ya familia ya kifalme basi nafasi yako katika familia ya kifalme inakuwa matatani. Huyu Malkia mwenyewe asingekuwa Malkia kama si Mfalme aliyekuwepo kabla ya Mfalme George VI kuamua kuachia ngazi ili amwoe kipenzi chake ambaye hakuwa na damu ya kifalme. Baada ya hapo ndio George VI akaipata hiyo nafasi.Kwangu naona ni Sawa, Kuna mambo mawili hapa hii familia wanakumbana nayo. Kwanza Kuna dalili ya unyanyapaa Kwa sababu wenzetu ukiwa na nasaba ya Kiafrika tayari ni shida kubwa. Pili Meghan anapenda kufanya kazi na uhuru wa kuwa mbele ya Umma bila kufungwa na kanuni na taratibu fulani fulani, uku akijipatia kipato kisicho na masharti.
Nakumbuka Price Diana aliondoka Birmighan ili kupata uhuru alioukosa kwa muda mrefu,alitamani kwenda Miami,Hawaii, Bermuda , Hongkong,Durban na Masai Mara bila kizuizi .
Sina shaka kama atajitoa kwenye ruzuku ya serikali na umaarufu wao utapungua na mwanzoni serikali ya Canada itagharimu ulinzi wake na hata Waziri mkuu ameahidi Tradeu atawasaidia ulinzi ,
Meghan atarudi kwenye kazi yake na Harry atakuwa mratibu na mambo yatakwenda
Sawa Princess
Predecessors ni nini?Queen na predecessors wake na kizazi chao wanakula dhambi ya kutawala, kunyonya na kuiba maliasili na rasilimali za binadamu wenzao, hawana maana hata kidogo, wache wafarakane mpaka waishie huko...
Huyu Harry ni damu ya kunguni. Diana alikiri kutembea na dereva mmoja wa Jumba la mfalme na inasemekana ndio baba ake huyu dogo.
Kisa cha Charles kumkataa Diana ni kupenda kugongwa akiwa nje. Mwishowe akakumbana na playboy Doddy Fayad alie pata nae ajali.
Hivyo hii ni bad blood halafu akaenda kuoa chotara ikazidisha chuki dhidi yake.
Kujitoa huko imekua bora kwa jumba la malkia kwani Kiti hakiwezi tena kwenda kwa mtoto wa nje
Sent from my iPad using JamiiForums
NonsenseFalme na mamlaka zoote hapa duniani zitaanguka na kusimama ufalme mmoja tu! "Yesu Kristo"
Hapo wasabatho wamekujaje?
Waingereza wanaendeshwa na mfumo wa constitutional monarchy... Where the monarch takes little direct part in the government.... The legislative power is exercised by the Queen but the executive is exercised by the Queen's government (ministers, prime minister etc).. Zamani her Majesty alikuwa na uwezo wa kumuondoa prime minister katika nafasi yake lakini kwa sasa kinachoweza kumuondoa prime minister ni election, kifo au resignation... However the Queen can appoint the prime minister wherever necessary..Na pia Queen or King ni mkuu wa majeshi kama rais huku kwetu.... Kama kuna nilipokosea nipo radhi kurekebishwa.Tusaidie tu swali letu hili, kipi kikubwa/kinamvaa/kinamuongoza/kinamuumba mwenzie kati ya STATE and GOVERNMENT? Nadhani hatu tu utamwelewa uliyemjibu juu.
Lingine, je government interests zikigongana na State interests, zipi zita prevail? Hapo ndiko tukuambiako kuwa, Rais, wa Uingereza alianza kuitawala tangu miaka ya 50 hadi Leo anaitawala tu. Na hata maraisi wajao wa Uingereza tunaweza kuwataja, wasitufanye maboya hawa.
Queen's bench, Queen's language, God bless Queen, hizo ni kanuni kuu za State and the government of the whole British empire,not only England
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaa haya maelezo yako hayana hata chembe ya ukweliHuyu Harry ni damu ya kunguni. Diana alikiri kutembea na dereva mmoja wa Jumba la mfalme na inasemekana ndio baba ake huyu dogo.
Kisa cha Charles kumkataa Diana ni kupenda kugongwa akiwa nje. Mwishowe akakumbana na playboy Doddy Fayad alie pata nae ajali.
Hivyo hii ni bad blood halafu akaenda kuoa chotara ikazidisha chuki dhidi yake.
Kujitoa huko imekua bora kwa jumba la malkia kwani Kiti hakiwezi tena kwenda kwa mtoto wa nje
Sent from my iPad using JamiiForums
Eeh afadhali umemfafanulia maana[emoji134]Si kweli. Charles alikua na mpenzi wake(camilla) kabla ya kumuoa diana. Charles hakumpenda diana basi tu ilitakiwa amuoe maana camilla tayari alikua makando kando kibao. Hata baada ya ndoa charles hakumuacha camilla ndo chanzo cha diana kuanza kusaka suluhisho la moyo wake. Baada ya diana kufariki Charles alipata nafasi ya kumuoa rasmi Camilla (ndo mkewe hadi muda huu ila hawana mtoto)
Hata asingejitoa bado yupo mbali kwenye kurithi kiti cha ufalme.
Eti mashine nene[emoji16][emoji16][emoji16]Hapo wasabatho wamekujaje?
Pambana na hoja yake.
MashineNene[emoji533][emoji1646]
[emoji38][emoji38][emoji38]