Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Hatucheleweshi yaaniVery interesting comparison
Kisa cha kwanza askari kajiua baada ya mkewe kufariki! Huu unaitwa upendo wa dhati
Kisa cha pili ni hiki, mume kafariki mke katafuta mchepuko! Huu unaitwa upendo maslahi... Sentimental love![emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kilikuwa kinawatafuta na kimewapataKuliko kuondoa uhai si wangepanga hata wavamie wachukue tu pesa wawaache ingali hai
Huyu mama Kama yasemwayo Ni kweli alikosea Sana kupenda mduduHivi ni kweli kila mtu anapozaliwa Maisha yake yanakua yamepangwa na Mungu, Kama hii scenario?
Hivi mhitimu wa form six anaweza kuwa na wivu na mhitimu wa Std IV? Pole sana ungejua Naomba kuishi a hapa. Usiku mwema na ubarikiwe dogo
Mwanamke mwenye hela na urembo si unatakiwa uwe na mtu decent au?Ni msichana bado na mrembo, [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]uwe na profile Kama lake; urembo na mafwedha sidhani kama angechomoka salama kutoka kwenye mikono ya wanaume, awe ki ben ten or not...
Not sure, tulikuwa wengi, ukinitajia mtaa au mwaka, nitajaribu kurudisha kumbukumbu.Swali nje ya mada!flat's hpo unamkumbka mama nafisa
Ova
Pascal nimekumiss uko wapi nije tunywe wine??Not sure, tulikuwa wengi, ukinitajia mtaa au mwaka, nitajaribu kurudisha kumbukumbu.
P.
Mwanamke mwenye hela na urembo si unatakiwa uwe na mtu decent au?
Pole yake bna me ndo maana sisikilizagi nyege zangu
Tuambie boss mume wake alifariki lini??Inauma sana!.
Thanks.
P
Yaani kuna muda ukifika kwa mwanamke kitulize tu .Kama una watoto Lea tuDecent utampata wapi katika Pool wamejaa watu wasio genuine kila mtu ana interests zake...ni rahisi kupotezwa kuliko ku win, labda hicho ki ben ten ndio kilikua afadhali waliobaki wote hopeless... [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] maskini...kumbe ndio kabisaa angebaki single tuu...π³
hahahaaaaaaaaaaaa umepinda mkuuYaani kuna muda ukifika kwa mwanamke kitulize tu .Kama una watoto Lea tu
Uzuri wazungu wameleta plastic penis tamu hatare
2019 mwishoni, he was my school mate.Tuambie boss mume wake alifariki lini??
Is there a problem na neno wajameni?.Mkuu,
Unapata wapi ujasiri wa kuandika neno "wajameni"
Ooh maskini so miaka 2 tu family yote imemfata .Soo sad2019 mwishoni, he was my school mate.
P