Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Wewe mtu mkubwa bna.naogopa kukudangia.
Yaani laiti ungelijua!, mimi nina ukubwa gani hadi uniogope?. Acheni roho mbaya tuu za uchoyo wa kuwanyima wenzenu company. Tena mimi ndio usiniogope kabisa, umri umeisha songa, sina hata meno ya kutafuna nyama, ni kunywa tuu kinywaji, hakuna kutafuna nyama.
P
 
Kwani Joe alikufaje!?
 
Binadamu wengine walipewa akili 1/2. Wewe utamshutumu vipi victim? Ni akili ya kawaida hiyo kweli? Nebuchadinezzer
Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?

Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.

Hizi ni hukumu zenye double standards.
 
Huyu shadrak kapanga ana uhusiano na mzee kapanga baba yao akina ema yule wa Uk. Anaeishi tabata .
 
Inasikitisha sana,

FUNZO:
Wanawake wajane jieshimuni, jama unaona bado unaweza olewa, fanya hivyo na sio kutembea na wanaume hovyo hovyo.

Huyu mama amekufa na kusababisha wanae kufa kwa sababu ya uasherati wake. (Kwa lugha isiyoyakisanii)
Hata vitabu vya dini vinasema tamaa ni dhambi ya umauti.
 
Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
 
Hilo nalo linawezekana kwa asilimia kubwa tu....
 
Mshana Jr:

Asante kwa taarifa mkuu ila taarifa hazijajitosheleza. 💔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…