Inasikitisha Sana ka ni hvo wanawake wakifiwa yapasa kutumia busara mnoMume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.
😂😂 Doctor mstaafu umekamatika leo😂
Jamaa puuzi kabisaInasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Unajaribu kubisha nini? Au una information za ndani zaidi ya hizi hapa. Kama huna basi sioni mantiki ya kubisha. Kuna watu wameua kwa njia za kijinga kuliko huyu. Kusema tu mtu anayewea kurithi mali ndiye mwenye motive ya kuua sidhani ni sahihi. Dunia ya sasa mtu anakuua hata kwa shilingi milioni 2.Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso
na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
Yes is possibleI don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Natamani kukielewa hiki kisa.
Huyo Joe ni nani? Boyfriend Wa nani amehusika? Mlinzi je?
Anyway, poleni wafiwa.
Aikua kisuuu
Busara wasiwe na wenza ? Au wafanyeje ?Inasikitisha Sana ka ni hvo wanawake wakifiwa yapasa kutumia busara mno
Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Alafu dereva wa Lisu amefichwa ,hawataki aulizwe chochote
Ishawahi kukukaza ?Yaani kuna muda ukifika kwa mwanamke kitulize tu .Kama una watoto Lea tu
Uzuri wazungu wameleta plastic penis tamu hatare
So hata akikupa nyama , utabaki kuitolea macho au utatafuta mcongo ulipo ?Yaani laiti ungelijua!, mimi nina ukubwa gani hadi uniogope?. Acheni roho mbaya tuu za uchoyo wa kuwanyima wenzenu company. Tena mimi ndio usiniogope kabisa, umri umeisha songa, sina hata meno ya kutafuna nyama, ni kunywa tuu kinywaji, hakuna kutafuna nyama.
P
Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.Yaani kuna muda ukifika kwa mwanamke kitulize tu .Kama una watoto Lea tu
Uzuri wazungu wameleta plastic penis tamu hatare
Umeona kwa jicho la tatuI don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Hii inaweza kuwa sababu, mirathi imeua wengine bila huruma refers case ya dadake msuya aliuliwa kikatiliSio ndio hapo Hii ni zaidi ya kuchukua PESA, I am sure ni mirathi
boyfriend hawezi Kurithi lakini ndugu wa mume ndio walikua wanatamani mali za kaka Yao
kuwaua wote Ina maana wao ndugu ndio watarithi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ogopa sana kiben10 kimbaumbau kimekula vumbi la kongo halafu kikasimamia ukucha.. Kinasugua kihuni mpaka inatoa mvuke
Sent using Jamii Forums mobile app
🤭🤭🤭Ogopa sana kiben10 kimbaumbau kimekula vumbi la kongo halafu kikasimamia ukucha.. Kinasugua kihuni mpaka inatoa mvuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes if possible mbona wakutoa hamu wako wengi na inakuwa no attachment at all aisee.Busara wasiwe na wenza ? Au wafanyeje ?