Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Jamaa puuzi kabisa
Linasaidiwa bado linataa limiliki mali za mwanaume mwenzie li nyongwe kabisa
 
Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso

na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
Unajaribu kubisha nini? Au una information za ndani zaidi ya hizi hapa. Kama huna basi sioni mantiki ya kubisha. Kuna watu wameua kwa njia za kijinga kuliko huyu. Kusema tu mtu anayewea kurithi mali ndiye mwenye motive ya kuua sidhani ni sahihi. Dunia ya sasa mtu anakuua hata kwa shilingi milioni 2.
 
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Yes is possible
 
Natamani kukielewa hiki kisa.
Huyo Joe ni nani? Boyfriend Wa nani amehusika? Mlinzi je?

Anyway, poleni wafiwa.

I also think there is more story to this problem. Muda utasema
 
Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali

Pole sana bro Paskali

Alale salama Emmy na waschana wake

So sad jamani
 
Yaani laiti ungelijua!, mimi nina ukubwa gani hadi uniogope?. Acheni roho mbaya tuu za uchoyo wa kuwanyima wenzenu company. Tena mimi ndio usiniogope kabisa, umri umeisha songa, sina hata meno ya kutafuna nyama, ni kunywa tuu kinywaji, hakuna kutafuna nyama.
P
So hata akikupa nyama , utabaki kuitolea macho au utatafuta mcongo ulipo ?
 
Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji

Kiben10 kijinga sana ,vumbi la congo lipo kibao kinondoni na mikoani wanatuma ameshindwa kulitumia kusimamia kucha Mama akawa anampa pesa na kumfungulia miradi? Muache akaungane na SABAYA.
 
Yaani kuna muda ukifika kwa mwanamke kitulize tu .Kama una watoto Lea tu
Uzuri wazungu wameleta plastic penis tamu hatare
[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.
 
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Umeona kwa jicho la tatu
 
Sio ndio hapo Hii ni zaidi ya kuchukua PESA, I am sure ni mirathi

boyfriend hawezi Kurithi lakini ndugu wa mume ndio walikua wanatamani mali za kaka Yao

kuwaua wote Ina maana wao ndugu ndio watarithi
Hii inaweza kuwa sababu, mirathi imeua wengine bila huruma refers case ya dadake msuya aliuliwa kikatili
 
Back
Top Bottom