cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Inasikitisha Sana ka ni hvo wanawake wakifiwa yapasa kutumia busara mnoMume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.