King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso
na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
Kiini cha haya yote ni pesa!
Kuna anaezitaka hizo pesa kama sivyo kuna alowahi kudhurumiwa hapo nyuma ameamua kulipa kisasi!
Yule mama mwenye shule ....nakumbuka tena uzi uliletwa mpaka humuVijana wengi wanapenda kitonga kuna kisa kama hiki kilitokea mbezi beach miaka 5 iliyopita mama mrembo aliuliwa na boy friend
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu,
Unapata wapi ujasiri wa kuandika neno "wajameni"
Weee.. wa kwenye menopause wako pande mbili. Kuna hao qanapemda kusuguliw mbususu achaaaMenopause sidhani kama wanakuaga na hamu..huyo etwege anaonekana anahamu hamu
Yule mama mwenye shule ....nakumbuka tena uzi uliletwa mpaka humu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Alafu dereva wa Lisu amefichwa ,hawataki aulizwe chochote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kuna kijana mmoja maarufu Dar alikuwa na kashfa ya kumuua girlfriend wake kwa tamaa ya pesasiyo vijana wote mkuu, mimi ni kijana lakini ningepata nafasi ya jamaa nisingefanya kama alivyofanya
anajifariji huyo yaani nyama na plastic haviwezi kuwa na taste sawa hata dunia igeuke juu chini[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.
hivi huyu jamaa ni mwanamme kweliUko kwenye ovulation au? Uko heat?
nenda hata memkwa mkuu kwa sasa tz elimu bure kajielimisheDildo zingekuwa ngumu sizingeuzwa hivo
Umenifikirisha kiakili zaidi[emoji848][emoji848]I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Mi naamini kabisaHilo nalo linawezekana kwa asilimia kubwa tu....
Wanavyodai ni kehivi huyu jamaa ni mwanamme kweli
Very true duuuh!Sio ndio hapo Hii ni zaidi ya kuchukua PESA, I am sure ni mirathi
boyfriend hawezi Kurithi lakini ndugu wa mume ndio walikua wanatamani mali za kaka Yao
kuwaua wote Ina maana wao ndugu ndio watarithi
Absurd!Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso
na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
that's gotta be true, she has all the potentials of being womanWanavyodai ni ke
Human touch muhimu, plus someone kusikia feelings zakeanajifariji huyo yaani nyama na plastic haviwezi kuwa na taste sawa hata dunia igeuke juu chini