Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso

na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine

Umeongea facts!! DCI/DPP wachukue huu ushauri ,wawahoji tena mlinzi na ben10 bila shuruti.
 
Mwendazake alisema kuwa kuna mtu alikuwa anatuma SMS kwa Mwanyika. Lisu ndiye alikuwa anatuma SMS. Mwendazake alimwita mtuma SMS kuwa ni msaliti. Na akasema wasaliti huwa wanauawa. Muda haukupita hukumu hiyo ikatekelezwa. Mungu akakataa. Labda kama mwendazake alimtumia dereva wa Lissu, hapo watapata taarifa kuhusu nani alitaka Lissu afe.
Alafu dereva wa Lisu amefichwa ,hawataki aulizwe chochote
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umeandika kweli ukishakuwa na watoto hasa wamekua na kubalehe ni muhimu kukituliza, maana boyfriend anaweza kuwatoa wanao bikra hivi hivi, pia dildo nazo janga k siitaota sugu, pia human touch inabaki na umuhimu wake.
anajifariji huyo yaani nyama na plastic haviwezi kuwa na taste sawa hata dunia igeuke juu chini
 
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume
Umenifikirisha kiakili zaidi[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Sio ndio hapo Hii ni zaidi ya kuchukua PESA, I am sure ni mirathi

boyfriend hawezi Kurithi lakini ndugu wa mume ndio walikua wanatamani mali za kaka Yao

kuwaua wote Ina maana wao ndugu ndio watarithi
Very true duuuh!

Wahaya tena[emoji134]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania uwa wanashurutishwa wakubali, Wamelazwa kwenye maji hapo wamewekwa kwenye shoti ya umeme , wamechapwa sana hata Mimi nakubali ili nitoke kwenye mateso

na husikute aliefanya hivyo keshatembeza PESA za kutosha jeshi la police case apewe mwingine
Absurd!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom