Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Umeandika kama muhaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka mnoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu utopolo nao vpi?! Ndio umeandika utumbo gn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Whoever did it atakua mtu au watu ambao watanufaika na kutokuwepo kwa mama na wanae wa pekee..boyfriend hawezi kunufaika na chochote...mlinzi kama kweli alikua anafokewa na manyanyaso angewaibia siku moja na kutokomea ili kuwakomesha..
Hii kesi ina mengi sana nyuma ya pazia lakini yote yanawezekana
 
Mm najiuliza
Huyo boyfriend siku 3 hajaongea na mpenzi wake asishtuke kweli kwamba mbona hapatikani kwenye simu?
Boyfriend alitakiwa aww wa Kwanza kuanza kumtafuta na kutoa taarifa polisi kwa vile hawajawasiliana kwa simu
Na kwa vile alikuwa anaweza kuingia kwenye hyo nyumba nilitegemea awe was Kwanza kugundua maiti
Hata Kama nyumba ilikuwa imefungwa angeweza kutafuta ndugu au polisi wakaingia
Kwenye uchunguzi vyote vitaangaliwa, ingawa kama nimesikia akisema alikuwa "safari" nalo lita chunguzwa . Kwa kweli Mlinzi mfanyakazi wa ndani atasema yote, labda mwanzoni anaweza kuhusisha upande usio husika lakini watajukikana tu , mfano nawasiliana yake na Boy friend na ndugu za Marehemu Joe, au mawasiliano ya Marehemu na mashemeji Na ya boy friend n.k
 
Huyo Boyfriend hakuwa kijana ni mtu mzima na kama mmesikia mohojiano ya majirani alimuja akapiga honi sana hakufunguliwa ndipo akaenda kuripoti .Gari lake pia lilikuwa ndani kama sikosei kutokana na.shuhuda za majirani.Jamani msitunge
Taarifa ya police ya kwanza walitunga Basi sijui kwa faida gani , wanasema walimkuta house boy anauza Simu ili apate nauli ya kutoroka Kwenda kwao walivyomuoji house boy akasema majambazi wamemuua boss wake walimuhoji tena house boy akasema ameua alitumwa kuua na huyo boyfriend

boyfriend alivyomdhulumu akatoa siri so which is which wananchi walivyoanza Kuhoji kwenye mitandao police wakaona aibu wakatoa maelezo mengine Kua wanafatilia kujua chanzo cha house boy kuua au nini kiini cha mauaji

kuna kitu police wanataka kuficha au Kuna mtu wanataka kumlinda kwa faida zao (RIP JPM)

Roho yangu inaniambia ndugu wa mume wanahusika kwa asilimia kubwa msiba wameupelekwa ( kiumeni ) jamani jeshi la police lifanye uchunguzi kuwahoji hao Nshomile hawana uchungu na ndio maana msiba wameuwahi ili wachukie Mali pia

marehemu alikua na mji wake kwa nini wakimbilie kupeleka msibani ukweni ni huruma wanatafuta au kujivua waoenekane hawajausika?
 
Mume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.
Kibenten ni fala sasa amefanya uamuzi utakaompeleka jela moja kwa moja! Pumbavu zake 😅😅😅 huyu mama unakula taratibu tu na kumzuzua wee huku unampiga hela tu
 
Moyo ni kichaka huwezi ukajua mtu anawaza nini wakati wewe ukiona amekuja kwa ajili ya mapenzi kumbe mwenzio kaja kwa tamaa ya mali tena vijana wa siku hizi wanataka vya bure hawataki kutafta mali zao kiukweli,lakini pia kuna sehemu mahali mama aliteleza mfano kuwa exposed kwa huyo boyfriend mpaka anajua ratiba zako zote ,pole sana kwa familia kwa kweli huu ni ukatili usiopimika
Boyfriend mpuuzi kashindwa kula na kipofu! Alitakiwa aende nae taratibu tu ni mapenzi tu ndio dawa ya faraja!
 
updates
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.

Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.

“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.

“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu boya alichonichekesha ni kitendo cha kuiba Dstv
 
Decent utampata wapi katika Pool wamejaa watu wasio genuine kila mtu ana interests zake...ni rahisi kupotezwa kuliko ku win, labda hicho ki ben ten ndio kilikua afadhali waliobaki wote hopeless... 😅 😅 😅 😅 😅 maskini...kumbe ndio kabisaa angebaki single tuu...😳
Anahisi kupata mtu decent ni rahisi hahahah!
 
Huyu shadrak kapanga ana uhusiano na mzee kapanga baba yao akina ema yule wa Uk. Anaeishi tabata .
No sijui kama wana undugu, ila kina Peter Kapanga enzi za Driven walikuwa dada yao mkubwa nimemsahau jina, wapili ni Judy, watatu Peter, wanne Line, watano Emma, na kadogo chao cha mwisho kavery sweet girl Eva, kalitwaliwa kakiwa malaika. Judy pia aliishaitwa!.
P
 
Back
Top Bottom