Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Inasikitisha sana.
Sema mazingira ya mauaji yanaleta ukakasi, ingekuwa kwamba wametiliwa sumu na msaidizi wao kusingekuwa na maswali mengi. Sasa hii ya kuwaua wote watatu kwa kuwapiga kwa nyakati tofauti na baadaye kukamatwa na vitu kama king’amuzi, simu na remote, kweli!!!!!!
Ukweli anaujua msaidizi na wauaji anawafahamu pia.

Ni ukweli mkuu waibe mamilioni wakamatwe na king’amuzi na remote mhnmmmmm
 
kwan alishindwa kuomba akapewa ata kusingizia ana taka kufanya biashara ili
ajikwamue kiuchumi,sidhan kama angenyimwa,kama angekuwa anapeleka moto vizuri to higher standard.
 
Inasikitisha sana.
Sema mazingira ya mauaji yanaleta ukakasi, ingekuwa kwamba wametiliwa sumu na msaidizi wao kusingekuwa na maswali mengi. Sasa hii ya kuwaua wote watatu kwa kuwapiga kwa nyakati tofauti na baadaye kukamatwa na vitu kama king’amuzi, simu na remote, kweli!!!!!!
Ukweli anaujua msaidizi na wauaji anawafahamu pia.
nadhani remote na tv+kingamuzi alichukua mlinzi ili na yy akafurahie maisha.
 
Taarifa ya police ya kwanza walitunga Basi sijui kwa faida gani , wanasema walimkuta house boy anauza Simu ili apate nauli ya kutoroka Kwenda kwao walivyomuoji house boy akasema majambazi wamemuua boss wake walimuhoji tena house boy akasema ameua alitumwa kuua na huyo boyfriend

boyfriend alivyomdhulumu akatoa siri so which is which wananchi walivyoanza Kuhoji kwenye mitandao police wakaona aibu wakatoa maelezo mengine Kua wanafatilia kujua chanzo cha house boy kuua au nini kiini cha mauaji

kuna kitu police wanataka kuficha au Kuna mtu wanataka kumlinda kwa faida zao (RIP JPM)

Roho yangu inaniambia ndugu wa mume wanahusika kwa asilimia kubwa msiba wameupelekwa ( kiumeni ) jamani jeshi la police lifanye uchunguzi kuwahoji hao Nshomile hawana uchungu na ndio maana msiba wameuwahi ili wachukie Mali pia

marehemu alikua na mji wake kwa nini wakimbilie kupeleka msibani ukweni ni huruma wanatafuta au kujivua waoenekane hawajausika?
Duuh

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh jamani Mali zimetoa uhai wa watu khaaaah.
 
Tunasubili report ya police , mama Samiha mama tunaomba mama fatilia hii case hili viongozi wa jeshi la Police linaongozwa na kamanda Siro wasitoe maelekezo tofauti kwa maslahi Yao wakambambikia mtu mwingine
Tumia hata TISS undercover na JWTZ kuchunguza hili tukio kutokana na report watakayotoa
 
Back
Top Bottom