Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possible sio boyfriend tu, kuna watu nyuma ya pazia, make haiingii akilini
Unawajua binamu? Sikuwezi.... 😁Boyfriend wamem frame tu wala hausiki, he is a smart boy na wala hana njaa za kihivyo
Dah,angepata vingi etBoyfriend mpuuzi kashindwa kula na kipofu! Alitakiwa aende nae taratibu tu ni mapenzi tu ndio dawa ya faraja!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]No sili kabisa nyama, sina meno kabisa ya kutafunia!, hivyo hata nikienda kwenye sherehe, kwenye meza ya buffee, sipakui kabisa nyama.
P
Kama wewe na misukule yakoWatu wanapenda sana kushabikia vitu ambavyo hawajui undani wake
Tupe vitu binamu.....Watu wanapenda sana kushabikia vitu ambavyo hawajui undani wake
Tutoe jaka moyo mkuu, boifrendi ni nani kwani.Boyfriend wamem frame tu wala hausiki, he is a smart boy na wala hana njaa za kihivyo
Inasikitisha sana.
Sema mazingira ya mauaji yanaleta ukakasi, ingekuwa kwamba wametiliwa sumu na msaidizi wao kusingekuwa na maswali mengi. Sasa hii ya kuwaua wote watatu kwa kuwapiga kwa nyakati tofauti na baadaye kukamatwa na vitu kama king’amuzi, simu na remote, kweli!!!!!!
Ukweli anaujua msaidizi na wauaji anawafahamu pia.
nadhani remote na tv+kingamuzi alichukua mlinzi ili na yy akafurahie maisha.Inasikitisha sana.
Sema mazingira ya mauaji yanaleta ukakasi, ingekuwa kwamba wametiliwa sumu na msaidizi wao kusingekuwa na maswali mengi. Sasa hii ya kuwaua wote watatu kwa kuwapiga kwa nyakati tofauti na baadaye kukamatwa na vitu kama king’amuzi, simu na remote, kweli!!!!!!
Ukweli anaujua msaidizi na wauaji anawafahamu pia.
DuuhTaarifa ya police ya kwanza walitunga Basi sijui kwa faida gani , wanasema walimkuta house boy anauza Simu ili apate nauli ya kutoroka Kwenda kwao walivyomuoji house boy akasema majambazi wamemuua boss wake walimuhoji tena house boy akasema ameua alitumwa kuua na huyo boyfriend
boyfriend alivyomdhulumu akatoa siri so which is which wananchi walivyoanza Kuhoji kwenye mitandao police wakaona aibu wakatoa maelezo mengine Kua wanafatilia kujua chanzo cha house boy kuua au nini kiini cha mauaji
kuna kitu police wanataka kuficha au Kuna mtu wanataka kumlinda kwa faida zao (RIP JPM)
Roho yangu inaniambia ndugu wa mume wanahusika kwa asilimia kubwa msiba wameupelekwa ( kiumeni ) jamani jeshi la police lifanye uchunguzi kuwahoji hao Nshomile hawana uchungu na ndio maana msiba wameuwahi ili wachukie Mali pia
marehemu alikua na mji wake kwa nini wakimbilie kupeleka msibani ukweni ni huruma wanatafuta au kujivua waoenekane hawajausika?
Binamuu fungukaWatu wanapenda sana kushabikia vitu ambavyo hawajui undani wake
Duuuh jamani Mali zimetoa uhai wa watu khaaaah.Taarifa ya police ya kwanza walitunga Basi sijui kwa faida gani , wanasema walimkuta house boy anauza Simu ili apate nauli ya kutoroka Kwenda kwao walivyomuoji house boy akasema majambazi wamemuua boss wake walimuhoji tena house boy akasema ameua alitumwa kuua na huyo boyfriend
boyfriend alivyomdhulumu akatoa siri so which is which wananchi walivyoanza Kuhoji kwenye mitandao police wakaona aibu wakatoa maelezo mengine Kua wanafatilia kujua chanzo cha house boy kuua au nini kiini cha mauaji
kuna kitu police wanataka kuficha au Kuna mtu wanataka kumlinda kwa faida zao (RIP JPM)
Roho yangu inaniambia ndugu wa mume wanahusika kwa asilimia kubwa msiba wameupelekwa ( kiumeni ) jamani jeshi la police lifanye uchunguzi kuwahoji hao Nshomile hawana uchungu na ndio maana msiba wameuwahi ili wachukie Mali pia
marehemu alikua na mji wake kwa nini wakimbilie kupeleka msibani ukweni ni huruma wanatafuta au kujivua waoenekane hawajausika?
Binamu basi mwaga full details hapa.Watu wanapenda sana kushabikia vitu ambavyo hawajui undani wake
Sure mkuu mshana anatakiwa aombe radhiWatu wanapenda sana kushabikia vitu ambavyo hawajui undani wake
Duuuh jamani Mali zimetoa uhai wa watu khaaaah.
Yule muuaji aliachiwa yuko mtaani anatapeli kma zamaniYule mama mwenye shule ....nakumbuka tena uzi uliletwa mpaka humu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app