Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Sasa kwa pesa na mali hizo atasalimiaje wenzie? [emoji23][emoji23][emoji23]
Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua

Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]

NB

Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Majirani wanasema huyo mama alikuwa hasalimii[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimesikiliza walinzi wa nyumba za karibu walipozunguza. Mimi naona wao walitaka awe na ule ukaribu wa kuzungumza nao ili wamjue kwa undani. Wao wanadhani alipokuwa anapita na kutoa salamu huku anaendelea na hamsini zake haitoshi. Maeneo ya aina hiyo niliwahi kuishi. Walinzi wa sehemu za aina hiyo wanapenda sana sana kuchunguza na kujua kila ''geti'' anaishi nani, anafanya kazi gani, yaani wanapenda ile kuzoea watu kupita kiasi. Huyu mama nadhani alikuwa anaishi yale maisha ya kutotaka watu wamzoee kupita kiasi.
 
Kusalimia ni muhimu. Ila sehemu nyingi watu wanataka wakuzoee kupiliza. Hapo ndipo ilipo shida. Ila hili la kuwa na uhusiano mzuri na majirani zako na watu unaoishi nao mtaani ni jambo zuri tu. Huyu mama mimi nilisikia walinzi wa nyumba za karibu ndiyo walilalamika. Sijui kama na wanaoishi kwenye hizo nyumba nao walilalamika...
 
Nyie hampajui masaki nyie. Mie nilikaa huko wakati nafanya kazi serikali kuu. Watoto wangu walikuwa wanacheza mpira ukaingia kwa jirani mgiriki mmoja Mafia. Dogo aliruka ukuta aufuate wakati amepanda juu nilisikia mlio wa risasi imepigwa juu. Na mtoto alikuwa below six.
Bahati ile risasi ilimkosa
 
Mbona kama una madini fulani so uanzishe thread.
Yaani mwanamke anavyozidi kujua ndivyo anavyozidi kuenjoi tofauti alivyokuwa mdogo.
 
Unapoishi ni vizuri ukajitengenezea ka network na watu fulani au baadhi ya majirani!

Ova
 
Nae anarukaje ukuta kufata mpira ?si agonge tu geti aombe mpira huo?
 
Gazeti la leo wameandika kuhusu huyo hawara yake na Huyo mwanamke nazani gazeti la mwananchi.
Atakayesoma atuandikie wamesemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…