Nimeskia hayo madildo utamu wake hauna mfano, halafu hayatuchafui ndo mana tunayataka 😋
Wajuzi wanasema unajipimia mwenyewe! 😀 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeskia hayo madildo utamu wake hauna mfano, halafu hayatuchafui ndo mana tunayataka 😋
Mshana Jr hata kama watu kadhaa hukihisi negatively but your the most Genius man in this forum.!!!Wakuu imetosha naomba mniwie radhi sana, nipeni muda nipate habari yote kwa ukamilifu
My apology again kwa kutokidhi kiu yenu juu ya habari hii.. NAKIRI MAPUNGUFU!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr hata kama watu kadhaa hukihisi negatively but your the most Genius man in this forum.!!!hongera sana broWakuu imetosha naomba mniwie radhi sana, nipeni muda nipate habari yote kwa ukamilifu
My apology again kwa kutokidhi kiu yenu juu ya habari hii.. NAKIRI MAPUNGUFU!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbuaSasa kwa pesa na mali hizo atasalimiaje wenzie? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimesikiliza walinzi wa nyumba za karibu walipozunguza. Mimi naona wao walitaka awe na ule ukaribu wa kuzungumza nao ili wamjue kwa undani. Wao wanadhani alipokuwa anapita na kutoa salamu huku anaendelea na hamsini zake haitoshi. Maeneo ya aina hiyo niliwahi kuishi. Walinzi wa sehemu za aina hiyo wanapenda sana sana kuchunguza na kujua kila ''geti'' anaishi nani, anafanya kazi gani, yaani wanapenda ile kuzoea watu kupita kiasi. Huyu mama nadhani alikuwa anaishi yale maisha ya kutotaka watu wamzoee kupita kiasi.Majirani wanasema huyo mama alikuwa hasalimii[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kusalimia ni muhimu. Ila sehemu nyingi watu wanataka wakuzoee kupiliza. Hapo ndipo ilipo shida. Ila hili la kuwa na uhusiano mzuri na majirani zako na watu unaoishi nao mtaani ni jambo zuri tu. Huyu mama mimi nilisikia walinzi wa nyumba za karibu ndiyo walilalamika. Sijui kama na wanaoishi kwenye hizo nyumba nao walilalamika...Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua
Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]
NB
Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nyie hampajui masaki nyie. Mie nilikaa huko wakati nafanya kazi serikali kuu. Watoto wangu walikuwa wanacheza mpira ukaingia kwa jirani mgiriki mmoja Mafia. Dogo aliruka ukuta aufuate wakati amepanda juu nilisikia mlio wa risasi imepigwa juu. Na mtoto alikuwa below six.Kusalimia ni muhimu. Ila sehemu nyingi watu wanataka wakuzoee kupiliza. Hapo ndipo ilipo shida. Ila hili la kuwa na uhusiano mzuri na majirani zako na watu unaoishi nao mtaani ni jambo zuri tu. Huyu mama mimi nilisikia walinzi wa nyumba za karibu ndiyo walilalamika. Sijui kama na wanaoishi kwenye hizo nyumba nao walilalamika...
Mbona nguvu kubwa mnataka itumike bana. Raslimali za Taifa letu.Hakika kabisa yaan, haki itendeke pasipo kuumiza wasio na hatia.
Mbona kama una madini fulani so uanzishe thread.Hakuna sehemu nimeongelea masaa tusichanganye mada kwanza mapenzi ni sanaa kama ulivyo sema
Pili wazee wapo wenye uwezo huo ni wachache wanaume wengi tu wakifika kwenye 50’s performance inapungua si kama hao vijana wao wenyewe wanajua
Hata uume unasimama ila sio mubashara kama wa kijana wa kwao unaanza kuwa legevu taratibu
In 40’s mwanamke akipata kijana lazima apate usipingane na nature hata huko mitaani tunaona hio ndio statistics
Jiongelee wewe na wachache ambao hampendi pengine ni stress za kutafuta hela
At your age you are very ambitious kama kwenye late twenties hukujipanga vizuri huku kwenye thirties nyege lazima zikate uwaze mbesa tu.
Ila ukute maisha umeyapatia umeridhika mambo yanaenda after money kingine nini cha kuenjoy kama sio sex
Hii mada ni very subjective though nakuelewa ila elewa na wengine pia
Unapoishi ni vizuri ukajitengenezea ka network na watu fulani au baadhi ya majirani!Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua
Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]
NB
Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nae anarukaje ukuta kufata mpira ?si agonge tu geti aombe mpira huo?Nyie hampajui masaki nyie. Mie nilikaa huko wakati nafanya kazi serikali kuu. Watoto wangu walikuwa wanacheza mpira ukaingia kwa jirani mgiriki mmoja Mafia. Dogo aliruka ukuta aufuate wakati amepanda juu nilisikia mlio wa risasi imepigwa juu. Na mtoto alikuwa below six.
Bahati ile risasi ilimkosa
Watoto akili zao wanazijua wenyewe. Ila jamaa nilimshitaki na baadae alileta mbwa wakubwa kama ndama na kufunga kamera kuelekea kwangu.Nae anarukaje ukuta kufata mpira ?si agonge tu geti aombe mpira huo?
Ndiyo hata ukiona kuna magari mengi unapiga simu au kuuliza nini kinaendelea hapo.Unapoishi ni vizuri ukajitengenezea ka network na watu fulani au baadhi ya majirani!
Ova
kwani mkuu watoto huwajui walivyo?Nae anarukaje ukuta kufata mpira ?si agonge tu geti aombe mpira huo?
Said yuko nje mama yake ndio kamtoa,karudia kazi yke ya utapeli ila damu ya yule mama itammaliza muda ni ukuta