hiko wapi hiyo nguvu kubwa ya kijeshi iliotumika?embu tupe taarifa Mpya ya jeshi la police ukiacha hile waliotoa Mwanzo ya kujikanyaga kanyaga kama umeona kuna resources nyingi zinatumika
Wewe umesema kuwa mpaka undercover ya jeshini itumike jamani,yaani Tiss na police wote.
Unatakiwa ujue distinction ya kazi ya hayo majeshi ndugu.
Yaani wewe unajua undercover wa military kazi Yao Nini ama rejea pale nilipo quote ulichoandika ama umeshasahau ndo Mana unaniuliza Tena kuwa nguvu kubwa iko wapi.
Nimekuambia hii ishu ndogo police ikajitosheleza jamani.
Na sio kusema kitu ambacho hujui kina matumizi gani.
Hebu tafuta captain ama major hapo jirani yako umuulizie undercover wa jeshini Wana kazi gani.
Mfano mdogo Kuna kichaa alikuwaga pale railway muda ule 1978/79 tunapigana na idd ,huyo ni kichaa afu ni bubu yaani kula Sana jalalani,alikuwa na makopo yake ya kutosha.
So treni ikiondoka kuja bara ama huku lake zone anakuwa anaona ni Nini kinasafarishwa.
Kuna dereva wa fuso alikuja kumtoa bana alilia Sasa kumbe ilikuwaga ni redio call pia alikuwa mjeda wa uganda.
Pia Kuna mjeda anaweza akawa ndani yetu kumbe ni pandikizi tokea Malawi ama Kenya ivi so anavujisha Siri kule na pia anaweza akajifanya Tena anauzia Tanzania Siri.
Yani anakuwa two sword edged spear.
Undercover bana mpaka nashindwa kumuelezea vizuri.
Nimeumia huyo dada kukatishwa uhai na hao watt bado ni wadogo Tena innocent gorgeous babies.
Ila kifo Chao kutafutwa chanjo sio kuwa jeshi litumike.
Resources za ku train Soulja ziko juu Mana nahitaji yake ni makubwa anapambana na maadui wa nje Ila police anapambana na maadui wa ndani.
Ni Kama paka na mbwa.paka anaua panya mende ndani ya nyumba Ila mbwa atapambana na fisi akivamia zizini kula mbuzi dada.
So huwezi kumleta mbwa aue panya.
I have tired to write na case closed for me to replay you.
Shida ya billioni Mia wewe unaomba msaada wa trillion kumi.