Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Ubarikiwe sana, ila nimekupenda bure kwa majibu yako na reaction yako maana wangekuwa kama akina Evelyn Salt chamoto ningalikipata

Pamoja Mkuu,hata wewe una lugha ya kistaarabu sana pia,pamoja na kwamba mwanzo hukuwa unakubaliana nami,bado ulijenga hoja yako kwa lugha ya kistaarabu pia.Na huu ndiyo uungwana.
 
Pamoja Mkuu,hata wewe una lugha ya kistaarabu sana pia,pamoja na kwamba mwanzo hukuwa unakubaliana nami,bado ulijenga hoja yako kwa lugha ya kistaarabu pia.Na huu ndiyo uungwana.
Kwa mara ya kwanza kueleweka, Nadhani wewe ni mhenga kama mimi ambao hatuwezi kuteuliwa. Nipo JF kuburudika maana sina muda wa kwenda vijiweni
 
Huu mfano wako hauendani kabisa na hoja yako unayo jaribu kuitetea hapa,nikukumbushe tu pengine,hoja yako ni kuwa “badilisha Dada/Kaka wa kazi nyumbani hata kama anafanya kazi vizuri na hana tatizo kisa amekaa muda mrefu na kazoea “

Narudi kwenye uhalisia sasa,unajua madhara ya mathalani kukaa unabadilisha Dada wa kazi ndani katika malezi ya watoto wako wadogo? Yani kila baada ya mwaka mmoja unaondoa Dada waliyemzoea tena anatimiza wajibu wake vizuri na pengine watoto wanampenda sana kisa tu kazoea unaleta tena Dada wa kazi mwingine. Yani watoto kila baada ya muda wanakuwa ni wa kuji adjust kulingana na Dada wa kazi aliyepo? Kwa Mzazi yoyote mwenye kujali malezi ya watoto wake wadogo hawezi ondoa Msaidizi wa ndani bila sababu maalumu.


Kuwa na amani.
Endelea na kile unachokifanya.
 
Hapo ndipo unapofail ndugu yangu kuona ulichoandika wewe ni sahihi zaidi. Kila mtu ana principal zake za maisha,usilazimishe kile ambacho kwako ni sahihi kiwe sahihi kwa wengine.

Hata tafiti na zenyewe huwa zinakuja kupingwa na tafiti zingine.Yani nikae na mtu anatimiza wajibu wake from no where nimwondoe kisa tu kazoea? Mbona wewe huondolewi kazini kwako kwa sababu umefanya kazi pale muda mrefu? Si ajabu utakaa hapo hapo hadi kustaafu kama si kuondolewa kwa nguvu,hiyo mantiki yako ya kumuondoa mfanyakazi wa ndani kisa kakaa muda mrefu haina mashiko kwa hizo sababu ulizozitoa.


Kuwa na amani.
Endelea na kile unachokiamini.
 
Wanawake tumekuwa na shida kubwa, kuendekeza nye ge, mume akifa tu hujatulia tayari ushasogeza, ukiachika ndo hivyo hivyo,

Yawezekana mke alishirikiana na huyo benten akamwondoa mume or whatever the case ila ndo yamerudi.

Huruma kwa hao mabinti sijui ndo walifunga tu shule maskini na kuja kupata balaa kubwa hilo.

Hao wauwaji walaaniwe milele.
Sio kuendekeza nyege! Sex ni hitajio la kisaikolojia kwa watu wa jinsia zote, unapolitekeleza kwa wakati wake unapata utulivu wa nafsi, tatizo la huyo marehemu ni moja tu chaguo lake halikuwa kwa usahihi! Ameenda kuangukia kwa kijana ambae anatafuta maisha, angetupata Kama sie wenzake ambao ni 40's na tuna visent vyetu vya mshahara ingawa ni vidogo, na tuna wake zetu tungeishi nae Kama mchepuko kwa adabu huku tukiangalia familia zetu! Wala kilichotokea inawezekana kingeepukika.
 
Kichefu chefu sana sio kuachiwa tu mali ..hata kama uko single parenr date na wazee wenzako ...
Mbona sisi wanaume tunafilisiwa na dogo dogo mpaka vya primary... na jamii inaona sawa tu...?

Ndio huo usawa...


Wamama waendelee kusafisha damu na serengeti .... ... Wote tunataka moto na joto...

Gari bovu huvutwa na gari zima!
 
Wanawake tumekuwa na shida kubwa, kuendekeza nye ge, mume akifa tu hujatulia tayari ushasogeza, ukiachika ndo hivyo hivyo,

Yawezekana mke alishirikiana na huyo benten akamwondoa mume or whatever the case ila ndo yamerudi.

Huruma kwa hao mabinti sijui ndo walifunga tu shule maskini na kuja kupata balaa kubwa hilo.

Hao wauwaji walaaniwe milele.
Mwanza nyegezi
 
Shogangu namanisha zile age fulani..kuanzia 40-50 wanathugua freshy sana tu...mwangalie mama diamond na shamte..! Umri wa shamte ndo umri mzuri shamte kshatoka kwa umri wa ujank..unamuona kbs huyu hata kushauri anashauri kiutu uzima...sio ant ezekiel na kusah...vijana hawajui mapenzi kama huelewi shogare!
Ila bwana sex is an art..na kuna wanawake wengine bado hawajui sex..wamekakari kushushwa vifuani after lisaa[emoji706]! Mapenzi sio hizo swaga tu..kukesha kifuani big no!kila mtu na choice yake
Aisee [emoji1787]
 
Napingana na wewe kwa hili,tumelelewa na Dada wa kazi na tumeishi nae kwa 25yrs,hakuna kitu kama hicho.Hapa nilipo nina Dada wa kazi nimeishi nae kuanzia 2007,watoto wamezaliwa akiwepo mpaka wanamwita Mama Mdogo.

Inategemea tu umepata mtu wa aina gani,anaweza fanya tukio muda wowote hata kama ameishi na wewe miezi miwili tu.
Dada wa kazi kuanzia 2007 Wala hatafuti boy friend au mtu wa kumuoa? Look around mnaweza mkawa mnakula nae.
 
Mume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.
muda gani mumewe kafariki?inawezekana labda kiben ten alikuwepo kabla jamaa hajafa.then kwa nini kuna mikanganyiko mara houseboy mara kibenten
 
Ni tatizo la wanawake Aged kupenda vijana kitu hawaelewi vijana wanatumia makalio kufikiri huyo mrembo angekuwa anatoka na mtu mzima mwenzie mwenye familia yasinge mkuta
wanasema jamaa ni houseboy tu
 
Wanawake wanachukulia vitu kiurahis... ndio maana waarabu hata wahindi hawawaachi wanawake wafanye maamuzi.. mume akifa kama kuna mahela mwanamke hapewi hizo hela.. ila anapewa huduma zote na ukoo wa mume.. mpaka atakapoolewa tena
it makes sense kule mwanamke hafanyi kitu mpaka ruhusa ya mume/kaka/baba
 
Back
Top Bottom